Ushauri kwa Simba Mechi ya Fainali

Ushauri kwa Simba Mechi ya Fainali

ikigijo

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
1,866
Reaction score
1,943
Nashauri Wapenzi wa Simba na Serikali!
Hii ni Fedheha!
Kwanini tupangiwe uwanja?
Serikali Iandae Matumizi ya Uwanja wa Amaan siku ya Tarehe 25!
uwe na Matengenezo!
itafutwe hitilafu ya lazima!
na kama CAF waleandika barua kwa Silba au serikali iwajibu CAF kuwa uwanja huo utakuwa kwenye matenegezo makubwa au ya Kati.
Hawawezi kutupangia Uwanja wa Mechi!
Hao Berkane wamefanya Uhuni,Yaani Wanajifanya wa Mjini kushirikiana na CAF!
Mechi iletwe kwa Mkapa!
 
Sisi Simba hatuchezi zanzibar, CAFU Watufungie, wachezaji wetu ni wazee hawawezi kupanda boti, kama mechi ya yanga tulizuia na hii tunaizuia tutamuambia rafiki yetu karia na jamaa zetu wa bodi ya ligi
 
Asante kwa ushauri, tupeni na mbinu za kumfunga sasa maana kwa uwezo wao sisi hatuwezi
 
Nashauri Wapenzi wa Simba na Serikali!
Hii ni Fedheha!
Kwanini tupangiwe uwanja?
Serikali Iandae Matumizi ya Uwanja wa Amaan siku ya Tarehe 25!
uwe na Matengenezo!
itafutwe hitilafu ya lazima!
na kama CAF waleandika barua kwa Silba au serikali iwajibu CAF kuwa uwanja huo utakuwa kwenye matenegezo makubwa au ya Kati.
Hawawezi kutupangia Uwanja wa Mechi!
Hao Berkane wamefanya Uhuni,Yaani Wanajifanya wa Mjini kushirikiana na CAF!
Mechi iletwe kwa Mkapa!
Huo ushauri ungewapatia nduguzo utopolo ili wavuke makundi.Uwanja upo Tanzania na Simba ni ya Tanzania.Shida ni nini hapo?
 
Nashauri Wapenzi wa Simba na Serikali!
Hii ni Fedheha!
Kwanini tupangiwe uwanja?
Serikali Iandae Matumizi ya Uwanja wa Amaan siku ya Tarehe 25!
uwe na Matengenezo!
itafutwe hitilafu ya lazima!
na kama CAF waleandika barua kwa Silba au serikali iwajibu CAF kuwa uwanja huo utakuwa kwenye matenegezo makubwa au ya Kati.
Hawawezi kutupangia Uwanja wa Mechi!
Hao Berkane wamefanya Uhuni,Yaani Wanajifanya wa Mjini kushirikiana na CAF!
Mechi iletwe kwa Mkapa!
ukifanya hivyo utawapa CAF maamuzi ya kufanya, wanaweza kuipanga mechi ya pili huko huko moroco, au wakaipeleka rwanda
 
Sasa hamtaki kupangiwa uwanja wa mechi mna viwanja vingapi Tanzania unaofaa kwa mechi kubwa za CAF? Uwanja wa Mkapa mliwahadaa CAF walipoukataa kuwa umeshafanyiwa maboresho wakaruhusu mechi ichezwe ila kilichotokea ni aibu ya mwaka, watu kucheza kwenye majaruba ya mpunga. Ile ni kuwakosesha uaminifu hivyo CAF wamechukua tahadhari.

Waliochagua uwanja wa Aman kama uwanja mbadala ni Simba wenyewe walivyocheza dhidi ya Stellenbosch
 
Unawafumbua macho hao karunguyeye aka utopolo?Unajichosha.
 
Kitu ambacho wengi hawafahamu, unapo shiriki mashindano ya CAF lazima uchague viwanja viwili kwaajili ya mashindano ya CAF na vyote lazima vikaguliwe na kupewa Certificate na CAF.

Simba ilichagua Ben Mkapa na Aman Zanzibar, Ben Mkapa kime feli katika ukaguzi kwaiyo New Aman Complex ndicho kita tumika.
Mki leta ujanja ujanja mtaelekezwa mchague kiwanja kingine nje ya Tanzania kilicho na Certificate ya ukaguzi w CAF.
 
Nashauri Wapenzi wa Simba na Serikali!
Hii ni Fedheha!
Kwanini tupangiwe uwanja?
Serikali Iandae Matumizi ya Uwanja wa Amaan siku ya Tarehe 25!
uwe na Matengenezo!
itafutwe hitilafu ya lazima!
na kama CAF waleandika barua kwa Silba au serikali iwajibu CAF kuwa uwanja huo utakuwa kwenye matenegezo makubwa au ya Kati.
Hawawezi kutupangia Uwanja wa Mechi!
Hao Berkane wamefanya Uhuni,Yaani Wanajifanya wa Mjini kushirikiana na CAF!
Mechi iletwe kwa Mkapa!
CAF sio TFF wala bodi ya ligi, msije mkajibiwa mtafute uwanja mwingine. Halafu timu bora inashinda popote.
 
Rais wa RS Berkane ndio makamu wa Rais wa CAF.
Figisu zimeanza.
Lakini amini amini nawaambieni Simba bingwa CAFCC 2025.
 
Nashauri Wapenzi wa Simba na Serikali!
Hii ni Fedheha!
Kwanini tupangiwe uwanja?
Serikali Iandae Matumizi ya Uwanja wa Amaan siku ya Tarehe 25!
uwe na Matengenezo!
itafutwe hitilafu ya lazima!
na kama CAF waleandika barua kwa Silba au serikali iwajibu CAF kuwa uwanja huo utakuwa kwenye matenegezo makubwa au ya Kati.
Hawawezi kutupangia Uwanja wa Mechi!
Hao Berkane wamefanya Uhuni,Yaani Wanajifanya wa Mjini kushirikiana na CAF!
Mechi iletwe kwa Mkapa!
Hivi kwa nini viongozi wetu wasisusie mchezo kama ile tarehe 8 March! Kwa nini tunakubali kirahisi tu kuonewa na CAF? Na wakati kwenye rank zao tunashika nafasi ya nne?
 
Sasa hamtaki kupangiwa uwanja wa mechi mna viwanja vingapi Tanzania unaofaa kwa mechi kubwa za CAF? Uwanja wa Mkapa mliwahadaa CAF walipoukataa kuwa umeshafanyiwa maboresho wakaruhusu mechi ichezwe ila kilichotokea ni aibu ya mwaka, watu kucheza kwenye majaruba ya mpunga. Ile ni kuwakosesha uaminifu hivyo CAF wamechukua tahadhari.

Waliochagua uwanja wa Aman kama uwanja mbadala ni Simba wenyewe walivyocheza dhidi ya Stellenbosch
Yes ni kweli kaka!
Simba wajipange na Amaan zanzibar Au Wawataarifu CAF kuafanya Ukaguzi Kwa Mkapa Sababu baada ya Marekebisho je CAF wamekua Kujiridhisha kama Uwanja Umekidhi????
Ni Lazima Simba Wahoji hili!
Isiwe tuu Kwa Kuwa Mechi ya Kwanza uwanja Uliharibika then…Si Matengenezo yamefanyika watule report CAF na Kama CAF watapenda kujiridhisha waje waangalie!
watafanyaje maamuzi bila Kujiridhisha? basi kusingekuwa na Umuhimu wa Kufanya Marekebisho!
2.Mechi ya Fainali ni Kuwa sanaa kwa Tanzania na Simba!
Watoe Ushauri Wanashauri Mechi ichezwe Kwa Mkapa sababu ya Uwingi wa Watu!
CAF hawana sababu ya Kupeleka Mechi Nje ya Nchi!Wajiridhishe na Uwanja wa Mkapa Kwanza baada ya Marekebisho!
Kanuni si zinaruhusu?
kwanini CAF wa base kwa Hitilafu ya zamani?
Predictions za Hali ya Hewa zinasema hakutakiwa na Mvua!
Pili Kwanini hawataki kuka Kukagua???
 
Hivi kwa nini viongozi wetu wasisusie mchezo kama ile tarehe 8 March! Kwa nini tunakubali kirahisi tu kuonewa na CAF? Na wakati kwenye rank zao tunashika nafasi ya nne?
sisi Yanga Tunaumia sanaa sanaa Simba akichukua hili kombe😝
ndio Maana Tunaandika hivi kama ulivyoandika wewe mwzna Yanga damu mwenzangu
 
Yes ni kweli kaka!
Simba wajipange na Amaan zanzibar Au Wawataarifu CAF kuafanya Ukaguzi Kwa Mkapa Sababu baada ya Marekebisho je CAF wamekua Kujiridhisha kama Uwanja Umekidhi????
Ni Lazima Simba Wahoji hili!
Isiwe tuu Kwa Kuwa Mechi ya Kwanza uwanja Uliharibika then…Si Matengenezo yamefanyika watule report CAF na Kama CAF watapenda kujiridhisha waje waangalie!
watafanyaje maamuzi bila Kujiridhisha? basi kusingekuwa na Umuhimu wa Kufanya Marekebisho!???
Kwani awali hawakuja kukagua maboresho na wakaruhusu lakini mvua ikatoa majibu kuwa hakukuwa na maboresho ya maana. Walichogundua kuwa shida ni mvua itakaponyesha sio muonekano wa uwanja.
 
Back
Top Bottom