Ushauri kwa Serikali mkoa wa Mwanza

Ushauri kwa Serikali mkoa wa Mwanza

Hivi inakuwaje mtu mzima kabisa mwenye majukumu unakwenda kupiga picha na lisanamu? tena unakuta wengine wamenyoosha mkono kama wanalishika, ujinga huo siwezi kuufanya. Binaadamu tunatofautiana sana
 
Mkuu hili tatizo la vivuko ni viongozi na wasomi wetu uchwara na kufanya kazi kwa mazoea mtu akifanya vizuri anapigiwa zengwe mpaka anatoka ili wafanye yao
Poa, mkuu kazi ipo kwetu home, mana mapungufu bado ni mengi haswa kwa watumishi wetu,
 
[QUnOTE="kitimotojikoni, post: 28518792, member: 508729"]Poa, mkuu kazi ipo kwetu home, mana mapungufu bado ni mengi haswa kwa watumishi wetu,[/QUOTE]
Ndiyo Tanzania yetu hii tunaishi kwa neema tu
 
Hivi inakuwaje mtu mzima kabisa mwenye majukumu unakwenda kupiga picha na lisanamu? tena unakuta wengine wamenyoosha mkono kama wanalishika, ujinga huo siwezi kuufanya. Binaadamu tunatofautiana sana
Mkuu akili ni nywele
 
Hivi inakuwaje mtu mzima kabisa mwenye majukumu unakwenda kupiga picha na lisanamu? tena unakuta wengine wamenyoosha mkono kama wanalishika, ujinga huo siwezi kuufanya. Binaadamu tunatofautiana sana
Sio wote tunapiga hizo picha ni wahaya na wakerewe washaba wa mjini arafu wanajiona ni wajanja na wajuaji.
 
Back
Top Bottom