wa hapahapa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 7,460
- 4,402
waziri mwinyi kudanganya bunge ni sawa na kudanganya serikali na wananchi wake....
anastahili apewe adhabu kali zaidi ya kitwanga...
anastahili apewe adhabu kali zaidi ya kitwanga...
Iko page 5 tayari nafikiri angalau utapata point ya msingi iko wapiushauri mzuri. wadau anayejua tuhuma alizozitoa kubenea kwa undani aziweke hapa...
Kubenea athibitisha umiliki wa kiwanja alichokataa Hussein Mwinyi, ataka ajiuzulu kama alivyoahidiAlichosema Mwinyi kuhusiana na hoja ya kubenea ni hiki;
WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dk Hussein Mwinyi, amesema yupo tayari kujiuzulu endapo mbunge wa Ubungo Saed Kubenea, atawasilisha ushahid i kuhusu tuhuma alizotoa bungeni dhidi yake.
Awali mbunge huyo akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2016/17 ya Wizara hiyo, alidai Jeshi la Ulinzi la wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeingia mkataba na kampuni Hainang Construction kujenga nyumba za jeshi ambazo kampuni hiyo itazitumia kwa muda wa miaka 40.
Aidha mbunge huyo, pia alidai bungeni hapo kuwa anazo taarifa kuwa kampuni hiyo itaingia mkataba wa kumjengea nyumba Dk Mwinyi.
Akijibu tuhuma hizo Dk Mwinyi alisema tuhuma hizo hazina punje ya ukweli ndani yake. “Nasikitika kusema mbunge anaweza kuchukua maneno ya mitaani na kuyaleta kwenye chombo hiki muhimu tena bila ushahidi ni hatari sana,”
“...Nakuhakikishia mheshimiwa Niabu Spika tuhuma hizi hazina ukweli na endapo Kubenea atathibitisha nakuhakikishia nitajiuzulu,” alisisitiza.
Aidha alisema kuhusu hoja kwamba kampuni hiyo itamjengea nyumba Dk Mwinyi. “Naomba Bunge litumie utaratibu wa kikanuni, Kubenea akishindwa kuthibitsha maneno haya achukuliwe hatua stahili,”
Alisema ifike wakati wabunge ndani ya Bunge hilo wasitumie kinga ya Bunge na kufanya uchafuzi na udhalilishaji wa majina ya watu.
Knachotakiwa hapa ni kubenea kutuletea mikataba iliyoingiwa baina ya hiyo kampuni na JWTZ wakishirikiana na Mwinyi na ionyeshe vipengele vifuatavyo (1) Kujenga nyumba za jeshi na kuzitumia kwa miaka 40 kabla hawajazikabidhi kwa JWTZ (2) Kumjengea Mwinyi nyumba kama sehemu ya mkataba. Na si suala la umiliki wa kiwanja.
Mkuu Rutashobolwa, mbona unachanganya mambo! Kwani ulitaka Kubenea aje kwenye media kuthibitisha tuhuma za bungeni? Come on! Alichokifanya Kubenea kinakuzidi mno uwezo wako wa kuelewa mambo pamoja na mwenzako uliyemnukuu!Wana jamvi
Kama mjuavyo Kubenea atatakiwa kwenda mbele ya Kamati kuthibisha tuhuma dhidi ya JWTZ na Mh Mwinyi(MB)
Mbunge wetu amekwepa kujibu hoja au kuthibitisha tuhuma alizo toa bungeni na amekwenda kwenye vyombo vya habari makusudi kupotosha alicho takiwa kuthibitisha!
Mbunge Kubenea anataka akapewa adhabu ionekane kaonewa wakati kiukweli hajathibitisha tuhuma alizo zitoa bungeni dhidi ya Mwinyi na JWTZ
Kwa hisani ya mdau wa Jf tunawakumbusha wananchi na kubenea kuwa!
Ushahidi wa Kubenea hauhusiani na hoja aliyoshtakiwa na mwinyi. Hapa kawapumbuza watu ameacha jambo la msingi ili baadae akihukumiwa ionekane alionewa. alitakiwa kuthibitisha tuhuma dhidi ya JWTZ wakishirikiana na Waziri Mwinyi kuwa ilitoa ardhi kwa kampuni ya Hennang Guiging Industry Investiment kwa ajili ya kufanya ujenzi wa nyumba kwa miaka 40 na si kuhusiana na Mwinyi kumiliki kiwanja. Athibitishe pasipo na shaka ukweli huo .
Karibuni wana jamvi!
Mwana! endelea kupiga mulemule kusudi hawa wazushi waache hizi tabia za kuropoka bila tafiti.Wana jamvi
Kama mjuavyo Kubenea atatakiwa kwenda mbele ya Kamati kuthibisha tuhuma dhidi ya JWTZ na Mh Mwinyi(MB)
Mbunge wetu amekwepa kujibu hoja au kuthibitisha tuhuma alizo toa bungeni na amekwenda kwenye vyombo vya habari makusudi kupotosha alicho takiwa kuthibitisha!
Mbunge Kubenea anataka akapewa adhabu ionekane kaonewa wakati kiukweli hajathibitisha tuhuma alizo zitoa bungeni dhidi ya Mwinyi na JWTZ
Kwa hisani ya mdau wa Jf tunawakumbusha wananchi na kubenea kuwa!
Ushahidi wa Kubenea hauhusiani na hoja aliyoshtakiwa na mwinyi. Hapa kawapumbuza watu ameacha jambo la msingi ili baadae akihukumiwa ionekane alionewa. alitakiwa kuthibitisha tuhuma dhidi ya JWTZ wakishirikiana na Waziri Mwinyi kuwa ilitoa ardhi kwa kampuni ya Hennang Guiging Industry Investiment kwa ajili ya kufanya ujenzi wa nyumba kwa miaka 40 na si kuhusiana na Mwinyi kumiliki kiwanja. Athibitishe pasipo na shaka ukweli huo .
Karibuni wana jamvi!
Alicho takiwa kuwasilisha siyo ushahidi wa umiliki wa ardhi.
Je? Mahakama iliyompa ushindi waitara dhidi ya jery slaa ni ya ukawa?kubenea athibitishe asithibitishe adhabu iko palepale. ile ni kamati ya ccm wala sio ya bunge...
Time will tell Kubenea ni kichwa maji kamwe hatoweza kuthibitisha tuhuma hizo za kuokoteza mtaani!Mkuu Rutashobolwa, mbona unachanganya mambo! Kwani ulitaka Kubenea aje kwenye media kuthibitisha tuhuma za bungeni? Come on! Alichokifanya Kubenea kinakuzidi mno uwezo wako wa kuelewa mambo pamoja na mwenzako uliyemnukuu!
Sasa watu wasio na adabu waachwe?Wakati wakenya wanavunja rekodi ya medali za dhahabu na almasi kwenye mbio za maradhoni,tanzania tunavunja rekodi ya kufukuza wabunge duniani