Ushauri kwa Saed Kubenea kuhusu kiwanja chenye utata

Wana jamvi
Kama mjuavyo Kubenea atatakiwa kwenda mbele ya Kamati kuthibisha tuhuma dhidi ya JWTZ na Mh Mwinyi(MB)

Mbunge wetu amekwepa kujibu hoja au kuthibitisha tuhuma alizo toa bungeni na amekwenda kwenye vyombo vya habari makusudi kupotosha alicho takiwa kuthibitisha!

Mbunge Kubenea anataka akapewa adhabu ionekane kaonewa wakati kiukweli hajathibitisha tuhuma alizo zitoa bungeni dhidi ya Mwinyi na JWTZ
Kwa hisani ya mdau wa Jf tunawakumbusha wananchi na kubenea kuwa!

Ushahidi wa Kubenea hauhusiani na hoja aliyoshtakiwa na mwinyi. Hapa kawapumbuza watu ameacha jambo la msingi ili baadae akihukumiwa ionekane alionewa. alitakiwa kuthibitisha tuhuma dhidi ya JWTZ wakishirikiana na Waziri Mwinyi kuwa ilitoa ardhi kwa kampuni ya Hennang Guiging Industry Investiment kwa ajili ya kufanya ujenzi wa nyumba kwa miaka 40 na si kuhusiana na Mwinyi kumiliki kiwanja. Athibitishe pasipo na shaka ukweli huo .

Karibuni wana jamvi!
Mbunge wenu kvipi? Wewe ni ccm au chadema?
 
Sawa pamoja na hayo, kama kweli hicho kiwanja ni chake,hilo ni sahihi?Kubenea alitoa tuhuma hiyo moja tu?
 
Yaani anatakiwa kesho afike ofisi za Tume hiyo maana akikuta taarifa hiyo ameiorodhesha pia itakuwa ni ushahidi mwingine na hata akikuta hajaorodhesha na ikaja ikathibitika kiwanja ni chake bado atakuwa yuko hatiani.Dawa asichelewe.
Hadi aombe radhi huyo mwinyi, kama ikibainika basi afuate nyayo za babake
 
Kubenea komaa na hao wezi wa mali ya umma.kitaeleweka tu!"Tunakuombea"
 
Huyo Mwinyi awajibishwe ikionekana anadanganya kwanza kala vya Tanganyika tangu utotoni mpaka kaotea mvi huku si arudi kwao Shein ampe uwaziri?
Mkuu wewe ndiye mbunge wa nkansi?
 
Huyo Mwinyi awajibishwe ikionekana anadanganya kwanza kala vya Tanganyika tangu utotoni mpaka kaotea mvi huku si arudi kwao Shein ampe uwaziri?
Si nasikia kwao ni mkuranga?
 
Wana jamvi
Kama mjuavyo Kubenea atatakiwa kwenda mbele ya Kamati kuthibisha tuhuma dhidi ya JWTZ na Mh Mwinyi(MB)

Mbunge wetu amekwepa kujibu hoja au kuthibitisha tuhuma alizo toa bungeni na amekwenda kwenye vyombo vya habari makusudi kupotosha alicho takiwa kuthibitisha!

Mbunge Kubenea anataka akapewa adhabu ionekane kaonewa wakati kiukweli hajathibitisha tuhuma alizo zitoa bungeni dhidi ya Mwinyi na JWTZ
Kwa hisani ya mdau wa Jf tunawakumbusha wananchi na kubenea kuwa!

Ushahidi wa Kubenea hauhusiani na hoja aliyoshtakiwa na mwinyi. Hapa kawapumbuza watu ameacha jambo la msingi ili baadae akihukumiwa ionekane alionewa. alitakiwa kuthibitisha tuhuma dhidi ya JWTZ wakishirikiana na Waziri Mwinyi kuwa ilitoa ardhi kwa kampuni ya Hennang Guiging Industry Investiment kwa ajili ya kufanya ujenzi wa nyumba kwa miaka 40 na si kuhusiana na Mwinyi kumiliki kiwanja. Athibitishe pasipo na shaka ukweli huo .

Karibuni wana jamvi!
Kubenea kweli nimeamini ni kiboko ya maccm
 
Mtamuonea tu Kubenea kuhusiana na masuala ya kikanuni na kisheria wakati alishawaambia mapema kuwa elimu yake niya ''hapa na pale''!

Kwa maelezo zaidi pitia kwenye hii thread;
Mwaka huu mtajuta kumfahamu said kubenea
 
Hivi hilo la kukosewa kanuni iliyotumika kumshtaki nalo hamlioni?
Huwezi kumpeleka mtu mahakamani ukamshitaki kwa vifungu vya kuiba mbuzi kwa kosa la kuiba kuku kisha unasema eti kwa kuwa yote ni mifugo.
Case dismissed
 
Mkuu hapo tatizo ni kesi ya nyani kupewa ngedere ndio maana wengine tunaona ili kuwe na uwajibikaji hili swala lisiishie Bungeni tu bali liende kwenye vyombo vingine ingawa nako huko bado hakuaminiki sana lakini huwezi linganisha na hili Bunge linaloongozwa na kina Tulia.
 
Binafsi nimeshakosa imani na hili bunge la tulia
 
Tulikuwa tunamuona bi makinda analiendesha bunge kihuni lkn sasa tunayaona yenyewe
 
Wana jamvi
Kama mjuavyo Kubenea atatakiwa kwenda mbele ya Kamati kuthibisha tuhuma dhidi ya JWTZ na Mh Mwinyi(MB)

Mbunge wetu amekwepa kujibu hoja au kuthibitisha tuhuma alizo toa bungeni na amekwenda kwenye vyombo vya habari makusudi kupotosha alicho takiwa kuthibitisha!

Mbunge Kubenea anataka akapewa adhabu ionekane kaonewa wakati kiukweli hajathibitisha tuhuma alizo zitoa bungeni dhidi ya Mwinyi na JWTZ
Kwa hisani ya mdau wa Jf tunawakumbusha wananchi na kubenea kuwa!

Ushahidi wa Kubenea hauhusiani na hoja aliyoshtakiwa na mwinyi. Hapa kawapumbuza watu ameacha jambo la msingi ili baadae akihukumiwa ionekane alionewa. alitakiwa kuthibitisha tuhuma dhidi ya JWTZ wakishirikiana na Waziri Mwinyi kuwa ilitoa ardhi kwa kampuni ya Hennang Guiging Industry Investiment kwa ajili ya kufanya ujenzi wa nyumba kwa miaka 40 na si kuhusiana na Mwinyi kumiliki kiwanja. Athibitishe pasipo na shaka ukweli huo .

Karibuni wana jamvi!

Wakati wakenya wanavunja rekodi ya medali za dhahabu na almasi kwenye mbio za maradhoni,tanzania tunavunja rekodi ya kufukuza wabunge duniani
 
Wana jamvi
Kama mjuavyo Kubenea atatakiwa kwenda mbele ya Kamati kuthibisha tuhuma dhidi ya JWTZ na Mh Mwinyi(MB)

Mbunge wetu amekwepa kujibu hoja au kuthibitisha tuhuma alizo toa bungeni na amekwenda kwenye vyombo vya habari makusudi kupotosha alicho takiwa kuthibitisha!

Mbunge Kubenea anataka akapewa adhabu ionekane kaonewa wakati kiukweli hajathibitisha tuhuma alizo zitoa bungeni dhidi ya Mwinyi na JWTZ
Kwa hisani ya mdau wa Jf tunawakumbusha wananchi na kubenea kuwa!

Ushahidi wa Kubenea hauhusiani na hoja aliyoshtakiwa na mwinyi. Hapa kawapumbuza watu ameacha jambo la msingi ili baadae akihukumiwa ionekane alionewa. alitakiwa kuthibitisha tuhuma dhidi ya JWTZ wakishirikiana na Waziri Mwinyi kuwa ilitoa ardhi kwa kampuni ya Hennang Guiging Industry Investiment kwa ajili ya kufanya ujenzi wa nyumba kwa miaka 40 na si kuhusiana na Mwinyi kumiliki kiwanja. Athibitishe pasipo na shaka ukweli huo .

Karibuni wana jamvi!
Kwa hiyo na hilo la umiliki wa kiwanja ni sahihi siyo? Kwa kuwa limepatikana jipu lingine unataka kulitetea? Tulia wewe huu mchezo hauhitaji hasira...
 
Back
Top Bottom