atubariki JF-Expert Member Joined Oct 26, 2011 Posts 225 Reaction score 17 May 8, 2012 #1 Je kwanini rais asingeteua wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wasingekuwa wanatoka katika mikoa husika mfano mkuu wa mkoa wa Njombe awe anatokea Njombe na mkuu wa wilaya ya Makete awe anatokea Makete je wana JF mnasemaje ?
Je kwanini rais asingeteua wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wasingekuwa wanatoka katika mikoa husika mfano mkuu wa mkoa wa Njombe awe anatokea Njombe na mkuu wa wilaya ya Makete awe anatokea Makete je wana JF mnasemaje ?
gambachovu JF-Expert Member Joined Dec 29, 2011 Posts 1,854 Reaction score 293 May 8, 2012 #2 " I hate chit chatted politics" source: Kongosho Last edited by a moderator: Jan 4, 2016