STALLEY
JF-Expert Member
- May 5, 2012
- 623
- 219
Baada ya Ulaya na Marekani kuminya fedha za misaada, nchi yetu itapitia kipindi kigumu sana na suala la kujitegemea ni ndoto sababu nchi ipo chini kiuzalishaji vyanzo vya kodi ni vilevile.
Shughuli za kimaendeleo zimesimama rasmi hivyo namshauri afanye kutumbua majipu iwe kipaumbele chake kwa miaka hii mitano ili awaandalie ukawa mazingira mazuri watakapochukua nchi 2020.