Sangamwalogesha
JF-Expert Member
- Mar 10, 2025
- 2,144
- 1,300
Nieleweke, simchukii Rais wangu, nampenda sana.
Ila Rais huyu kiujumla, anawaogopa wasanii.
Wasanii wengi hawana hata maadili—watamsaidia nini? Mbele ya Rais wa nchi, mhuni mmoja anasema Harmonize amerudiana na Kajala, Rais anacheka. Nchi tunaipeleka wapi?
Kimsingi, baada ya Samia kuwa Rais, mtu wa kwanza kumwondoa alipaswa kuwa Majaliwa.
Mwinyi aliwahi kuwaondoa mawaziri wakuu wawili. Warioba, ni kwamba hajawahi kuwa na adabu kwa wakubwa zake kabisa.
Hakuna kiongozi mwenye akili anayeweza kuishi na mtu kama Warioba. Very arrogant. Egoism utafikiri anajua kila kitu. Kikwete alimtuliza. Hata Samia angempatia cheo gani Warioba, Warioba hawezi kutulia.
Malecela alifukuzwa na Mwinyi kwa kushindwa kusimamia Muungano. Na alivyotaka kugombea urais, Mkapa alimtuliza kwa mbinu kubwa sana.
Uzuri wa Malecela ni kwamba ana hekima, alikaa kimya. Hao wanaume—Mwinyi na Mkapa—ndiyo Marais. Samia hawezi hata kumwondoa Mwigulu?
Rais apime upepo, akubali kubadilika.
Aache kuwa karibu na wasanii. Yule mnamwita mjomba ni tapeli tu. Eti anakariri takwimu. Kwani zile wizara hazina viongozi?
Rais, very seriously, aeleze serikali yake imefanya nini.
Aachane na wasanii—tena aachane nao kabisa kwenye ziara zake. Rais gani anatembea na wasanii? Hata Kenya hawafanyi hivyo.
Mkapa alikuwa anatembea na wasanii?