Ushauri kwa Rais huenda ukamsaidia

Jpm ni mbeba,maono!?? Utachekwa hata na kuku??
Kama unabisha nenda kamuulize mama SSH! Hajui hata nchi inatakiwa kwenda wapi na kasi gani! Alikuwa kadandia lift tu akashangaa anaachiwa li'usukani'! Safari haijui vizuri na navigation system haifanyi kazi! Matokeo yake anaanza kuomba msaada kwa madreva walevi walevi wenye matukio😭!

Msimlaumu sana mama, alidandia tu lift😜! Mbeba maono hayupo!

RIEP&P our great hero 💔 Hon Dr JPM 🙏😭!
 
Anaandika KIGOGO2014

Siyo kwamba nakupangia lakini siku 80 za uongozi wako ni loss tupu
Political poralization iliyosababishwa na wewe na Meko ungei difuse kwa kufanya meeting urgent na wapinzani na CSOs ku normalize mambo. CCM wamekukataza na unadhani dola itakulinda 2025 maana hupiti ng,o

Mahusiano ya kimataifa yameharibiwa sana na Meko na mwehu Kabudi
step ya kwanza kutana na mabalozi wote wa nchi za nje wakioko Tanzania normalize mahusiano na signal mabadiliko ya sera ya nje
Ita mabalozi wote walioko nje waambie nini umeongea na mabalizi na nini sera yako

Kaa na baraza lako come out with your vision between now and 2025 Wape KPIs na nini unataka waachieve. Siyo kila siku Ummy fanya kile ,Ummy shoga angu njoo tuna jambo letu Dodoma. Unafanya hivi kwa kuwa huna vision kama Rais upo upo tu unafanya mambo in ad hoc fashion

Leo umeagiza kila mkoa ujenge shule za bweni ili washichana wasome teknolojia - UONGO MTUPU YAANI. How possible is that? Yaani wasome wasichana tupu kwa kuwa wavulana tayari wanajua? Haya mambo unaropoka kwa sababu huna vision na hauko realist na mifano yako ya mjukuu sijui
Kanirekebishia simu ..Yaani uongo mtupu

Maliza haya mambo ya msingi kwanza then ndo kaa anza kupiga porojo na hao wazee wa Dar ,sijui wanawake ,sijui vijana..

This country need someone with VISION siyo mtu wa kupiga piga blah blah. Una miaka 2 tu ya kufanya kazi effectively

2023 onwardly hakuna kazi utafanya maana tunaanza kujindaa na uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 then miezi 16 inayofuata ni uchaguzi mkuu ambao utakutoa jasho kweli kweli kwa kuwa ndani ya chama chako tu hawakutaki. Huku nje unajua mwenyewe malolosa unayoyafanya na CCM wenzako

Kuna mnigeria alimuuliza muimarate sisi kwetu tunankila kitu ila nchi haina maendeleo na maguta yalianza kupatikana kwetu kabla yenu akamjibu unaweza kuwa na kila kitu lakini kama hauna true leadership ninkazi bure shekeh Mohamed ni kiongozi mwenye vision
 
Back
Top Bottom