Ushauri kwa rafiki

Ushauri kwa rafiki

Amuepuka huyo.

Utajihusisha vipi kimapenzi na mtu ambae humfahamu familia yao wala anapoishi?!

Haya wameshafahamiana tayari kwanini anamkwepa kumuonesha kwake au kwa familia yake?

Awe makini atakimbiwa rafikiyo

Mwanaume ndo hataki kupafaham kwa msichana alimhimiza mara nyingi walau akapafaham kwao msichana lakini kijana alikataa hayupo tayari
 
mtetezi wa masingle mom ... Hapo tu ndipo panaponifanya nikutafute usiku na mchana.

Ila ilibidi mwanaume aeleze sababu za kutaka mtoto..

Kushindwa kukubaliana kwa hilo jambo linaweza kuvunja uhusiano huwez jua kwann jamaa anahitaji mtoto

Sidhani kama ana sababu ya msingi....labda anataka kutest kama binti anazaa ili asijeuziwa mbuzi kwenye gunia lol....dunia imevaa bukta hii.
 
anatamani kubeba mimba ili alinde penzi mwambie hilo penzi analotamani kulilinda kwanza halipo
 
Mhh! usawa huu,kwa kweli asibebe mimba, mana utaachwa upauke hadi kope,hana mapenz huyo
 
Back
Top Bottom