Ushauri kwa NECTA

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,655
NECTA kuna watu wa tehama (ICT OFFICERS) na siku zote ICT solve problem through develop software sasa najiuliza miaka yote matokeo yakitoka yanafunguka kwa tabu hivi mnashindwa kutatua tatizo hilo haya mimi nawashauri tena simple tu.

1:WEKENI MATOKEO KWENYE PDF,EXCEL ILI WATU TUWEZE KU DOWNLOAD HII ITAPUNGUZA MSONGAMANO MAANA WATU WENGI WATA YAWEKA KWENYE BLOGSPOT ZAO,WEBSITE NA WHATSAP KULIKO SASA HIVI
 
Necta kuna watu wa tehama (ICT OFFICERS) na siku zote Ict solve problem through develop software sasa najiuliza miaka yote matokeo yakitoka yanafunguka kwa tabu hivi mnashindwa kutatua tatizo ilo aya mm nawashauri tena simple tu
1:WEKENI MATOKEO KWENYE PDF,EXCEL ILI WATU TUWEZE KU DOWNLOAD HII ITAPUNGUZA MSONGAMANO MAANA WATU WENGI WATA YAWEKA KWENYE BLOGSPOT ZAO,WEBSITE NA WHATSAP KULIKO SASA HIVI

Unaongelea hii NECTA inayotangaza vituo bora vya mitihani na kuviita shule bora? Shule zisizokuwa na normal curve halafu zinakuwa bora? Shule zinazochukua wanafunzi waliopata A tu katika usaili wa wa kuingia kidato cha kwanza na kusajili wanafunzi 190 kidato cha kwanza kisha kuua viapaji vyao,kushindwa kuwalea na kuwaendeleza na kuwachuja na kuwabakiza 39 ili ziwe shule bora? NECTA ya namna hiyo kamwe haiwezi kukurahisishia wewe upate hayo matokeo yao kirahisi, sahau!
 
Nadhani matokeo ya private candidates yawe na link yake na yale ya S. nayo yawe na link yake ili isimlazimu mtu kusubiri hado P. zi load then aanze kuona S.
 
Back
Top Bottom