Siku chache zilizopita nilimsikia mwigulu akiongea bungeni kuwa jeshi LA Polisi Lina mpango Wa kuajiri vinaja zaidi ya elfu nne ili kuongeza nguvu katika kukabiliana na uharifu.
Imefika hatua sasa majeshi yetu kujaa wasomi badala ya kujazana darasa LA saba. Hii ni kutokana na kuwa mambo yanabadilika kila kukicha na sasa masuala ya kijeshi yamebaki yanaendeshwa kisayansi na kiteknolojia zaidi kuliko kutumia nguvu za mieleka. Siku hizi kinachopigana ni teknolojia kiasi kwamba mtu anakupiga akiwa nyumbani kwake tena akinywa chai mdogomdogo.hakuna namna ya kukwepa kuajiri wasomi ili kuendana na mabadiliko Haya, kwani tunaweza kujikuta jeshi letu linabaki kuwa la kizamani kutokana na kwamba hata vikinunuliwa vifaa vya kisasa vitakosa operators.
napendekeza katika Ajira hizi mpya vigezo vya mtu kuchaguliwa kujiunga na mafunzo kiwango kidogo cha elimu iwe degree na kuendelea.
Natuamini kuwa maoni Haya yatafanyiwa kazi na Mwigulu pamoja na wizara kwa ujumla