Ushauri kwa Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa

Ushauri kwa Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa

lendila

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
5,805
Reaction score
4,374
ACT - Wazalendo wametangaza ziara ya mikutano yao jiandaeni na nyie kuakikisha baada ya mikutano ya ACT nendeni mkasafishe upepo.

Katika kusafisha upepo msiwapige vijembe ACT - Wazalendo, nyie endelezeni sera zenu vizuri.

Kuna operesheni nimeona inaendelea huko Kanda ya Ziwa ina mafanikio makubwa sana.

Big up Mawazo.
 
Huyo mwenyekiti Bavicha wengi hawamtaki kabisa...
 
haki ya mungu mi ni mwanachama wa cdm lakin mwenyekiti wa BAVICHA simjui

tulimzoea heche sasa tumeletewa bubu
 
ACT - Wazalendo wametangaza ziara ya mikutano yao jiandaeni na nyie kuakikisha baada ya mikutano ya ACT nendeni mkasafishe upepo.

Katika kusafisha upepo msiwapige vijembe ACT - Wazalendo, nyie endelezeni sera zenu vizuri.

Kuna operesheni nimeona inaendelea huko Kanda ya Ziwa ina mafanikio makubwa sana.

Big up Mawazo.
Operstion TIGITIGI
 
mwenyekiti wa bavicha Taifa mlugaluga sana.
 
Chadema Wote Ni Viongozi Hakuna, Kwahiyo Swala La Kueneza Sela Za Chama, Ni La Mwanachama Yeyote, Kuna Viongo Wa Bavicha Nchi Nzima Kama Ulivyo Uongozi, Mwingine, Hata Wewe Pia Unapaswa Kupiga Kazi, Hatulali Ni Mpaka Kimeeleweka.
 
Lazima bavicha tuje na mipango tofauti na watu wa vyama vingine

mkuu hata hivyo mipango yenu ipo tofauti sana nyie zenu kuvaa miwani mieusi,kuandamana kwa nguvu,uongo,uzushi,kumwagia watu tindikali na kuzua umbea kuwa mnafuatiliwa na usalama wa taifa.
 
Mwenyekiti ni mwajiriwa wa Antony Diallo.
 
.... Naomba Kuuliza, Mwnykt Wa Bavicha Ni Bubu Au Naye Ni Pandikizi La Ccm?
 
Ben Saanane angefaa sana, sijaona cheche zozote za kwenye kiti wa sasa, ni afadhali mara miya yule John Heche.
 
Last edited by a moderator:
Chadema ni chama imara kinafanya mambo yake kulingana na program walizojiwekea

Hakiwezi kufanya kazi ya kuzungukia maeneo waliyopita mawakala wa magamba
 
Cheche zifuate kwa mafundi wa kuchomea vyuma
Mwenyekiti BAVICHA yuko anafanya kazi ya kuimarisha chama

Ben Saanane angefaa sana, sijaona cheche zozote za kwenye kiti wa sasa, ni afadhali mara miya yule John Heche.
 
Last edited by a moderator:
Bavicha chini ya mwenyekiti wa sasa ni kama imekufa vile. Hakuna oparesheni ya nguvu ya kujenga chama hasa mikoa ya kati na kusini.
 
sijaona ushauri wowote hapa labda ukuda na DOUBLE STANDARD.
 
Back
Top Bottom