Mkuu mbona unamshauri aende kwa T.B Joshua ilihali unasema hakuna binadamu wa kumponya?Kutokana na niliyoyaona Imanuel Tv namshauri ndugu yetu Mwakembye aende akaombewe kwani kwa taarifa tulizo nazo ni kwamba ile sumu ikishaingia kwenye system haiwezi kutoka milele mpaka ikupeleke kaburini,Mkuu panda ndege nenda Yule mchungaji amesaidia wengi sana tumeona kwenye Tv, hakuna binadam wa kukuponya na hili!
Mkuu mbona unamshauri aende kwa T.B Joshua ilihali unasema hakuna binadamu wa kumponya?
Mimi namuomba kwa akiri yangu yote. Kama CCM wamemfanyia hivyo, aachane na huo NW na arudi kwao Kyela akapumzike. Sasa hivi kitakachofata ni Mwakyembe hali yake ni mbaya na kakimbizwa India chini ya uangalizi wa Madakitari kwa sababu ya yeye kuogopa kuwataja hao Mafilauni wake. We love you Mwakimwakyembe hajastaafu tu huo u naibu waziri? anan'gn'gniza nini tena?