Ushauri kwa msajili wa Vyama vya Siasa Nchini

Ushauri kwa msajili wa Vyama vya Siasa Nchini

Enzi na Enzi

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2020
Posts
888
Reaction score
821
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana siasa za zitto na chama chake cha ACT tangia mwaka 2018.

Nimejiridhisha pasina shaka yoyote yakuwa, siasa za zzk siyo zile siasa alizokuwa akizifanya akiwa chadema na baada ya kuanzisha chama.

Zzk alipoanzisha chama cha ACT alipata wakati mgumu kupata uungwaji na uma wa watanzania.

Baada ya kuona hilo, zitto alianza siasa za uanaharakati na udini ndani yake.

Harakati na siasa za kidini za zzk alizifanya kwa kuanza kutetea na kushabikia.

1.makundi ya kiharifu kwa mf. Tukio la ugomvi wa wakulima na wafugaji huko mkoani kigoma zzk alitoa taarifa za mauaji ya wafugaji wa kinyantuzu yaliyofanywa na police ambayo kiuhalisia yalilenga kuleta chuki kwa jamii ya wafugaji hao na serikali. ( hakufanikiwa)

Zzk alianza kutetea makundi ya wanaharakati wa kidini kuwatetea watu ambao walikuwa wakichochea vurugu za kidini ambao mpaka leo amekuwa akiwatumia na kuwatetea mf. Ponda na aliyekuwa CAG.

Zzk na ACT yake nichama kilichojipanga kuleta machafuko ya kidini kwa mgongo wa siasa, ndio maana siasa za zzk nizakidini zaidi, ukitaka kuamini hilo angalia wanachama wanaojiunga ktk chama hicho uone niwanachama wa aina gani.
Hata wale wanaohama vyama vyao utangundua niwanachama wa aina gani.

USHAURI.. nakushauri msajiri wa vyama vya siasa UKIFUTE MAPEMA SANA HIKI CHAMA vinginevyo utegemee kuja kukifuta baadae kwa gharama kubwa ambayo kitaliingizia taifa.
Enzi na Enzi
Dar es salaam.
 
Back
Top Bottom