Ushauri kwa mrembo huyu

Ushauri kwa mrembo huyu

Kutumia picha za watu kupost mambo ya kitoto humu sio akili, kwani likizo inaisha lini mrudi shule?
 
story za kucopy kwenye page za Facebook hizi, upuuzi kama huu mods mnajaza server zenu tu, futilia mbali na member piga bann
 
shiit sa nini unachochanganyikiwa nacho....na hapa ushauri gani sasa unataka kama sio ***** tu...unataka ila unazuga...
 
adithi ya zamani sana
Nikiwa form 1 tuliadhithiwa tukiwa darasani Mwakaleli sec na Mwl Mwailamula
Imejirudia tena miaka 15 baadae
Upuuzi mtupu!
 
Shukran kwa hadithi yako, huyo dada namuona instagram anabinua kigoda tu, kwa siku anapost picha si chini ya tano.
Ni kweli kabisa, hata mimi huwa naona picha zake. Kwa hiyo, hiyo ni hadithi ya kutunga tu.
 
Back
Top Bottom