Ushauri kwa Mh. John Mnyika


wafanye kazi iliyokusudiwa kuanzishwa kwa upinzani. Hamna wanachofanya mbali na kuandamana.
 

Hee
Aungane na Zityo Kabwe Ccm? Zitto yuko Ccm?
Hapa naomba maelezo zaidi mkuu. Maana naamini ZZK ni mwanachama wa CDM kama ailivyo Mnyika,
 
Hee
Aungane na Zityo Kabwe Ccm? Zitto yuko Ccm?
Hapa naomba maelezo zaidi mkuu. Maana naamini ZZK ni mwanachama wa CDM kama ailivyo Mnyika,

hivi alifukuzwa uanachama ama alivuliwa uongozi?
 
Wanamtamani saana kamanda Nyika, hapo wamenoa haadaiki!!
Angalia anavyodhalilika Prof Tibaijuka, MaCCM ni ukoo wa wezi, nani ajiunge na genge la wezi na mafisadi???
Mpeni kadi kada wenu wa muda mrefu ZZK!!
 
siriluta wapinzani sio Serikali inayotawala, kazi ya upinzani ni kuikosoa, ili itekeleze ahadi zake kwa wananchi!!
 
Last edited by a moderator:
uwezo WAKE NI ZAIDI YA HUO ALIO NAO ILA ANADUMAZWA NA ITIKADI ZA CHAMA CHAKE. ANGEKUWA MBALI SANA KATIKA KULITUMIKIA TAIFA LAKE.
Akienda CCM ndio kwanza atakuwa anajichimbia kaburi la kifikra maana hatapewa muda wa kukuza kipawa chake. Atalazimishwa kubwabwaja mitusi kama Nape vile! Namsihi sana kijana mweledi yule asithubutu kuupokea ushauri mbuzi huu unaompa.
 
siriluta wapinzani sio Serikali inayotawala, kazi ya upinzani ni kuikosoa, ili itekeleze ahadi zake kwa wananchi!!

wAWESHINDWA KUIFANYA HIYO KAZI YA KUIKOSOA KAMA NDILO LILILOKUWA DHUMUNI LA UPINZANI. HAKUNA WANACHOKOSOA ZAIDI YA MAANDAMANO.
 
Last edited by a moderator:
Marehemu Chacha Wangwe alimlaani Mnyika Tokea Akiwa Hai kwani mojawapo wa watu waliokuwa na chuki kubwa na Chacha wangwe alikuwa Mnyika ,sasa laana imemkamata Ubungo mwakani 2015 atabaini laana ya chacha wangwe ilivyofanya kazi
Kwa kutoa laana za kipumbavu akafa mwenyewe!
 
Akienda CCM ndio kwanza atakuwa anajichimbia kaburi la kifikra maana hatapewa muda wa kukuza kipawa chake. Atalazimishwa kubwabwaja mitusi kama Nape vile! Namsihi sana kijana mweledi yule asithubutu kuupokea ushauri mbuzi huu unaompa.

aTAKUWA WAZIRI KAMA MWIGULU.
 
ni USHAURI TU MKUU, MBONA UPINZANI HAWAJAFANYA KITU TOKEA UANZISHWE?

Ulitaka watuletee maisha bora eti? Yaani wajenge barabara zenye ubora,waboreshe mfumo wa elimu,walipe mishahara mizuri wafanyakazi wetu,waache kutoa misamaha ya kodi ovyo kwa wageni na wafanyabiashara wakubwa ambao ni makada wa ccm,waboreshe huduma za afya kwa kuwapatia madaktari vifaa bora vya tiba,wasimamie maslahi ya wakulima wa taifa hili,wadhibiti rushwa na wawachukulie hatua wezi na mafisadi wa mali za umma kama EPA,Meremeta na hawa wa ac ya Escrow, Kama ndivyo basi hawa CDM hawatufai kabisa! Jitambue.
 

Huyo Zitto Kabwe atakuwa Malaya hatari sana wa kisiasa. Hata ndumilakuwili hawi hivyo, mara CDM, Mara ACT na sasa CCM! Halafu ulivyo mp.umbavu unamuona huyo ndiyo hero na role modal wako!
 
aTAKUWA WAZIRI KAMA MWIGULU.

ulitaka awe gaidi kama huyo mwigulu? Hata kama mtu ni makini vipi hawezi kuuonesha akiwa ccm.CCM inawafanya watu kuwa misukule,washabikie upumbavu ambao hata mtoto wa chekechea ataubaini na kwa mfano tu ulio hai hebu tazama bunge letu lilivyojaa upumbafu mwingi lakini unashangiliwa kishabiki na kupitishwa.Ni mambo mangapi yenye maslahi kwa taifa yanakataliwa na hao mashabiki maandazi? Wamevuruga mchakato wa katiba kwa maslahi ya kikundi kidogo na mtu makini asiye mchumia tumbo hawezi kuwa sehemu ya hao majizi,mapuuzi yenye kuwaza kwa kutumia matumbo yao yaliyokusanyana kwa jina la ccm.
 
aTAKUWA WAZIRI KAMA MWIGULU.

Mpumbafu kama wewe huwaza vyeo tu! Hawazi wala haumizi kichwa kuona nchi yetu ni tajiri ina raslimali kibao lakini watu wake wanaogelea ktk umaskini wa kutupwa! Yeye huwaza vyeo na pesa tu.SasaHapo naipata picha ya Makamba,mwigulu na zito kuwa roll modal wako! Wachumia tumbo kwako ndo mpango mzima! Jitambue na uache kutumika kijinga hivo
 
wafanye kazi iliyokusudiwa kuanzishwa kwa upinzani. Hamna wanachofanya mbali na kuandamana.

unafahamu wajibu wa vyama vya upinzani? Naona virus wamekula mafaili yote kwenye kichwa chako umekuwa ndondocha.
 

hAYO NI MAWAZO YAKO, KAMA ULIKUWA UNAKWEPA KODI, MNAFANYIA VIKAO NJE YA NCHI, MTAKOMA NYIE WAHUJUMU UCHUMI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…