Ushauri kwa 'me'

mambo hayo hayapo siku iz mdada anakula vyako na mwsho wa siku anakusanda
 
Ina Fanya kazi.
Mbona niliitumia kwako haikuzaa matunda weee, samaki mkunje ....sasa tukizoeshana mapema yote hii mhmhh kwa style hizi tukiingia kwenye maisha ya kawaida mapenzi yetu yataendelea kushamiri kweli ....mimi ni mzuri sana kwenye risk management.. Since risk is the future unforeseen event nahitaji umakini zaidi when comea to women
 
ha ha ha ha unawezajikuta unawekeza mwisho wa siku hakuna kitu
Yes mkuu,hapo ndiyo inatwa kutwanga maji kwenye kinu...hawa watu wana vitu vingi sana wanavitamani mpaka ujue cha muhimu kwake ni vipi umeshahanagaika sana...cha msingi jipe muda kumsoma swala wako unaemuinda .....
 
sahihi kabisa mm nawatafunaga wengi sana kwa style hiyo, hasa outing za usiku
 

Kwangu haukukaza tuu. Ulichoka mapema.
 
Yaani umenena vema sana hebu pita jeshini watukane adhabu taitumikia mimi
 
Hii mitego mingine hii, September tunalipa ada za watoto na Asprin amesema nyumbani ni mwendo wa dagaa na mchicha sasa leo unamwambia mwenye butcher anipe maini kilo tano
 
Mkuu mbinu hiyo ilipita kipindi cha shemeji,
Kipindi cha jiwe lazima mambo yasiwe mengi[emoji81] [emoji81]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…