Ushauri kwa mdada aliyempenda mwanaume asiyependeka

Ushauri kwa mdada aliyempenda mwanaume asiyependeka

Mkuu ukweli ni kuwa kadiri tunavyokuwa sisi binadamu ndivyo hamu ya kuwa na mwenza inazidi kuongezeka.

Ukiwa kijana unatamani uwe single thinking its freedom.
Wapo wanawake wengi wazuri wenye elimu zao wakiwa bado wanalipa hawababaishwi na mtu. They can dump any man for any reason.

Baadae anapoendeoea kukua anagundua she/ he need someone by his/ her side.

This is natural
Sio kwamba hakujifunza kwa makosa.
Nimekupata mkuu.
 
Back
Top Bottom