Ushauri kwa mdada aliyempenda mwanaume asiyependeka

Nimetumiwa text huko private message ambapo mdada mmoja anahitaji nimshauri kuhusu changamoto ya mahusiano.

Fuatilia hapa anavyojieleza kuhusu hiyo shida yake na vile nilivyo mshauri.

Mdada : Nina umri wa miaka 40 - mama wa watoto wawili ambapo kila mmoja ana baba yake. Shida yangu ipo hivi:
Kuna mkaka mmoja hivi in my apartment block. I asked him out for a coffee - date two weeks ago. Akubali na tulikutana na kuzungumza kwa masaa matatu. He gave me the impression that he is attracted to me. Baada ya hapo tuliachana kila mtu akaenda kwake. Tangu siku hiyo hajawahi kuwasiliana nami tena - not even on valentine day!! Nampenda sana. Ninamfikiria kila siku. I want to text him but I'm fearing he might hurt me. I've been through so many heartbreaks from men. Tafadhali naomba ushauri wako mtumishi.

MIMI: pole sana, kusema kweli you'll hurt again your self. Inaonekana hujajifunza somo lolote katika kushughulika na wanaume.

He has never asked you for a date. You asked him for a coffee in your first time. Alikuambia ulichotaka kusikia. Umeanguka kwa mwanaume ambaye hakupendi na unataka kulazimisha uhusiano ufanye kazi!

Mtumie ujumbe unayotaka iwe. Atashughulikia kukata tamaa kwako. He will come over - sleep with you and he disappear into thin air!

Baada ya hapo utaongeza katika takwimu yako ya wanaume ambao wamevunja moyo wako.

Tafadhali usipapatikie wanaume.

Ushauri wangu ulikomea hapo, kama na wewe unalo la kumshauri weka hapa atasoma mwenyewe.
Mbona amesharahisishiwa kazi, mwanaume kajitoa ili asimuumize ila bado hajasoma alama.
Abadilike na aanze kupenda wanaume wanaomuhitaji.
 
Wale wahuni wa kataa ndoa wanawaumiza Dada zao. Unaona sasa mambo haya?
 
Miaka 40 watoto wawili Kila mmoja na baba ake na Bado hajielewi anahangaika na wanaume, hajajenga mpaka Sasa Bado anatafuta watu wa kutoana nao out kula starehe kupetiwa

Huyo Ni kubwa jinga
 
Huu msemo unaosema kuwa "tunajifunza kutokana na makosa" kumbe siyo wa kweli bhana.
Mkuu ukweli ni kuwa kadiri tunavyokuwa sisi binadamu ndivyo hamu ya kuwa na mwenza inazidi kuongezeka.

Ukiwa kijana unatamani uwe single thinking its freedom.
Wapo wanawake wengi wazuri wenye elimu zao wakiwa bado wanalipa hawababaishwi na mtu. They can dump any man for any reason.

Baadae anapoendeoea kukua anagundua she/ he need someone by his/ her side.

This is natural
Sio kwamba hakujifunza kwa makosa.
 
Back
Top Bottom