Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,504
Mtangazaji mmoja wa kituo cha Redio cha Capital FM nchini Uganda ametoa pendekezo kuwa nchi yake iangalie uwezekano wa kumuazima Rais wa Tanzani, Dr. Magufuli angalau kwa miezi mitatu tu, na wao watatulipa hata kwa mawaziri wao 15, na kwao haitakuwa hasara.
"Tanzania should be persuaded to loan Magufuli to Uganda for a period of three months. In exchange, Uganda would send 15 ministers to Tanzania, and this wouldn’t be a big loss, seeing that we have many. "
Katika kipindi hicho kilichorushwa jumamosi mtangazaji huyo alienda mbali zaidi na kupendekeza kuwa kwa kipindi chote hicho cha miezi mitatu Rais wao Yoweri Museveni apewe likizo akapumzike na mkewe.
"What about President Museveni? He should go on to leave together with Mama Janet, she further proposed,... the mere presence of Magufuli in Uganda would enable the country to save enough money for the cancer machine and other hospital equipment. Such is the Magufuli effect"
Amesema hayo kufuatia kuwepo kwa sintofahamu nchini Uganda katika sekta ya afya huku viongozi wa serikali wakitumbua fedha katika sherehe na matumizi mengine ya anasa ndani ya nchi yao kwa kutumia fedha za walipa kodi.
Jumamosi iliyopita, chama cha NRM kilifanya sherehe kubwa kujipongeza iliyogharimu zaidi ya Billioni 1.5 za Uganda kusheherekea ushindi katika uchaguzi wa hivi karibuni katika sehemu inayojulikana kama Kololo ambapo keki tu ya sherehe iligharimu mamilioni ya Shillingi za Uganda.
Sherehe hizo zimefanyika wakati hospitali ya taifa ya Uganda iitwayo Mulago ikiwa imegeuka kama zahanati ya kata kwani haina uwezo wa kutibu chochote zaidi ya malaria tu.
"Dr Diana Atwiine, the State House health services Czar, confirmed that Mulago is reduced to the level of a health centre IV because it is only treating malaria. The head of Mulago is also adamant, and insists that he cannot be expected to deliver a good service when so little is invested"
"Right now, there is a lot more to be angry about! We now know the rot in hospitals, especially regarding equipment and services. X-ray machines in Butabika and Masaka are confirmed dead."
Mtangazaji huyo amemsifia Magufuli kwa uwezo wake wa kubana matumizi, na kusitisha sherehe za kitaifa za Mabilioni na kuelekeza pesa kwenye mambo ya muhimu katika taifa.
"It is also public knowledge that President Magufuli rejected victory celebrations last year when he took up office, and recommended that monies for that function be used to refurbish a hospital. He also engaged in community service that day; he and others of his party were seen cleaning markets".
Source: OnObserver (UGANDA)