Kapige pharmacy diploma ila kwa alama hizo utapata private tu maana serikali ushindani mkubwa mkuu.Ufaulu wangu wa kidato cha 4 ni B Kiswahili, zilozobaki zote D isipokuwa Math na Phys ni F na Chem D
Nishaurini nikasome kozi gani ngazi ya Ufaulu wangu wa kidato cha nne.