Mangi flani hivi
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 2,026
- 3,104
Nilikuwa naangalia tuzo za TFF leo, Sijui tukio hili limefanyika lini, lakini Masoudi ndiye aliyekuwa host. Aluvyokuwa amevaa na ukizingatia ni mbele ya waziri wa mambo ya ndani Kama mgeni rasmi, na ni event kubwa yenye officials wengiiii....kwa kweli hujatendea haki, na hasa tukijua kuwa wewe ni mbunifu wa mavazi...unataka utuvalishe nin Wakati wewe mwenyewe unavaa hovyo??? Umezingua Masoudi.