Ushauri kwa Makamanda: Kuhusu kususia chaguzi

Ushauri kwa Makamanda: Kuhusu kususia chaguzi

Shiiiiiiii ongea taratibu Hao unaowataja wako chooni wameshikiwa na tumbo LA kuharisha toka walipopata matokeo ya udiwani kuwa chadema imepata kitu kimoja cha udiwani wako na salary Slip hadi SAA hii wanaharisha nasikia mwana jamii forums mwenzenu salary slip kazimia kwa kuharisha.
Mkuu
YEHODAYA
Hahahaaa...Hao jamaa wakija hapa Ukweli "sitakutetea"..na Unaujua Mziki Wao....
 
Wananchi kwa nini mnayakubali matendo ya ccm???????? Kweli tunataka nchi isiyo na uhuru???
Nchi hii ilipata uhuru 09/12/1961. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ni J. J. Magufuli.
 
Wananchi kwa nini mnayakubali matendo ya ccm???????? Kweli tunataka nchi isiyo na uhuru???
Nchi hii ilipata uhuru 09/12/1961. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ni J. J. Magufuli.
 
Halafu iweje
Hiyo ni political move. Kwa chama kikuu cha upinzani kususia uchaguzi kwa misingi ya haki na uhuru wa vyombo vya dola vya uchaguzi, ni doa kubwa sana kwenye nchi inayosema inafuata demokrasia.

Analolisema Ngabu, naliunga mkono kabisa. Nimekuwa nikisema hivyo toka 2010. Kwa mfumo wa uchaguzi uliopo sasa, chama cha upinzani kushinda na kuongoza serikali ni vigumu sana, kama tunategemea sanduku la kura. Vyombo vyote vya dola vinatumika na maCCM! Upinzani utashindaje sasa hapo?!

Labda kama lengo si kushika dola!
 
Mkuu Waberoya umemaliza wa kuelewa a taelewa nyumbu povu likimtoka itapendeza.
 
People’s.....

Ama baada ya salaam, ngoja tu niwape ushauri ingawa huwa hampendi kushauriwa wala kukosolewa.

Ni mara kadhaa sasa humu nimekuwa nikiwaasa kususia chaguzi na mmekuwa mkinibeza.

Baada ya kisago cha jana ndo mmeanza kuzinduka na kuona umuhimu wa huo ushauri wangu.

Sasa basi, kwanza poleni sana maana mmeshindwa vibaya mno. Pili, muwe mnakubali kukosolewa hususan ukosoo unaolenga katika kuwajenga.

Siyo kila anayewakosoa ni CCM au sijui kanunuliwa na CCM.

Hamjachelewa sana...mnaweza kabisa kubadilika. Kwa hiyo badilikeni kabla hamjachelewa.
Mkuu kususia uchaguzi sidhani kama ndiyo suluhisho hasa mimi naamini kuwa watz asilimia kubwa ni wajinga kupindukia hivyo basi siku watz ujinga ukiwatoka ndo watajua thamani ya kura zao, thamani ya kupoteza muda na kufuatilia siasa, watajua kuchanganua masuala ya siasa, watapembua mchele na chuya, hapo labda wataamka na kusema hapana inatosha!!! hivi fikiria mpaka dunia ya leo eti mgombea wa ubunge sifa ya elimu ni kuanzia darasa la saba!! halafu dereva anayeajiriwa serikalini awe amemaliza kidato cha nne!!! huu ni ujinga wa hali ya juu.

Watz wengi ni wajinga mnooo kiasi ambacho wanaongopewa na wanasiasa uwongo ambao ni mpumbavu pekee anaamini.
 
Ili kuwepo sera ya cuf enzi zile ya kutomsusia nguruwe shamba la mihogo/miwa halafu usikie ikitolewa ufafanuzi wake na mh Duni Haji utapenda bana.
 
Kenya walikuwa na katiba mpya na tume huru pia...imesaidia nini? Mbona bado Uhuru alichakachua? Kwanini hatujifunzi jamani?

Wazo lako ni nini, machafuko ama? Maana unataka kuonyesha hayo yote hayafai kwakuwa watachakachua tu.
 
Jamani, hapa piga ua, hata aje malaika, tatizo la nyie kushindwa ni watanzania hawawakubali. Mjitathmini.

kwa kipimo kipi? Haya mabomu na kujeruhiwa wapinzani wakati wa kampeni ili wananchi waone wapinzani hawafai? Kila siku ccm imekuwa ikishinda. Kaingia rais wa sasa kila siku jukwaani anasema nchi hii ilichezewa sana, iliibiwa sana na wezi hao ni wanaccm na kila siku wananchi wamekua wakiambiwa hilo. Kwa maneno marahisi wananchi wanawakubali waliokuwa wanawaibia? CCM wanashinda by default kulingana na mifumo mibovu iliyopo na sio kwa kukubalika kama unavyotaka tuamini. Naona sasa hivi mnasema eti cdm wanashindwa kisa Lowassa ni fisadi. Alipokuwa ccm alikuwa anashinda kila siku yeye na chama chake. Mpaka bunge linavunjwa alikuwa ni mbunge kupitia ccm na alikuwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi bungeni. Kote huko wananchi hawakuona mapungufu bali wananchi wameyaona sasa. Mnachekesha walionuna, ccm eti ikiwa chafu inashinda, ikiwa safi kwa mujibu wa tafsiri zao inashinda bado!! Hao wananchi ni wajinga kiasi gani?
 
Muulize Maalim, alisusia uchaguzi... nini kilifuata..
 
mijitu mikubwa na akili zao eti inaenda kwenye uchaguzi huku ikijua kabisa Tume ya uchaguzi ni ya CCM

ukiwashauri wanatukana, beza, matusi bila hata kuangalia mantiki ya mtoa ushauri

cha kufanya

1. waache kila kitu wapiganie tume huru na taratibu za uchaguzi

2. waache chuki, zinawapofua! upuuzi wa kumpenda uhuru kisa raila ni rafiki wa magufuli that was stupidity of the highest order! leo wana nguvu gani ya kulaumu maana haya ndio yale ya uhuru kenya

3. viongozi wao sio miungu, ni watu wanaopaswa kukosoreka, kushauriwa na ukiona hawaeleweki tambaa

4. waache kujipa matumaini yasiyokuwepo KUONGEA KWA MSISITIZO KWA VITISHO AU SAUTI kubwa havikufanyi kukubalika kwa watu, sana sana wanakuogopa na kuwa wanafiki..kumbuka KURA INATOKA MOYONI! unatakiwa kuingia kwenye mioyo ya watu na sio kwenye vichwa vya watu, moyoni hauingiia kwa violance you shuld be trusted first

5. sio kila kitu kupinga, issue za madini, maknikia na tumbua tumbua chadema walipaswa kuvikubali vyote , hata kwa kwa kinafiki ili kupata MASS support ambayo ina msupport magufuli na kisha KUONGEA POLITELY how they will it better than magufuli kwa kuleta utofauti wenye lengo lile lile!! upuuzi aliokuwa anauongea Lissu bila heshima na kujali hisia za wengine na hasa za kiongozi wa taifa hazikupaswa kuwepo, unapomdhalilisha kiongozi wa kitaia haumii yeye tu, wanaumie wengi pia! hili ni somo pana sana, mniite kwa two days seminar how innocent souls that they love president zinaumia wanapoona rais anaumia, na hawa innocent soul ndo wapiga kura!......mtatukana tena

6. Toeni ushauri mbadala kwa kila tatizo! kuwe na writeups kuwa chadema walisema watafanya haya, KUKOSOA RUKSA, tumia lugha nzuri na kisha ELEZEA MBADALA wake, ambao unajua utaingia kwa wananchi over time, days, years even decades!

mwaka wa 20 sasa tunabaki tunatukanana watu wenye lengo moja kutaka mabadiliko ila njia na mawazo tofauti! personally nataka CCM waondoke hata leo hii, ila sio kwa upinzani huu, sio kwa wahuni kama Mbowe, Mbowe huwa najua kabisa hata ukimpa urais hatautaka, atakachotaka ni pesa tu, ni mafia tapeli na anayetoa false hopes....kuna wakati unawaza ni sehemu ya ccm ya kuwadanganya wanachadema na mabadiliko feki ambayo yeye hana mpango nayo

Hivi kwa akili za kawaida kabisa kabisa mkiwa na makende yenu, tume ya uchaguzi kweli iko huru mpaka mpeleke suruali zenu kupiga kura???, halafu mkishindwa mnalalamika, mna tofauti gani na mbwa ambaye analalwa na madume kumi kila mwaka na anazaa tu! akimaliza tena analalwa kwa uchungu, kisha mwakani anarudia, hata baba wa watoto hajui! sasa mpe ushauri mbowe na chadema uone!! watakomaa hivyo hivyo kana kwamba wanaotea vile

ebu amkeni bana, priority ni Tume huru ya uchaguzi kelele zingine mnajipotezea muda

sio mara ya kwanza

Mwongozo wa JF: What should start Tume Huru ya Uchaguzi au Katiba?

Waberoya tume huru ya uchaguzi hata ikiwepo kama chama dola hawana ni ya dhati kutoka moyoni ya kutoa haki haisaidii kitu! Tume huru inaanza kwa chama dola kuwa na kiu ya kutoa haki, tume huru ina maana tu kama chama dola kitaamua kuwa potelea pote imetosha sasa wameamu mshindi apewe haki yake vinginevyo ni uongo tu. Nakumbuka Buhari alimwambia Goodluck Jonathan kuwa yeye (Goodluck) ni mshindi pia maana ameshinda tamaa ya kuchakachua matokeo na amekubali yeye mpinzani (Buhari) kuchukua nchi!! sasa je ccm wako tayari kuzishinda tamaa zao na uchu walio nao kuhusu madaraka? fikiria udiwani tu hivi je uraisi na ubunge itakuwaje 2020? mara ngapi ccm wanasema asilani hawatoachia nchi kwa vikaratasi? (wakiwa na maana ya kupitia ushindi wa halali wa kura)


Kingine kumbuka kuwa watz wengi ni wajinga wa kiwango cha juu wao wanaona mambo mengi wanayofanyiwa na serikali ni hisani tu na si haki yao. Sasa ni mpaka hapo watz ujinga utakapowatoka na watakapoamua kuihold serikali accountable kuanzia serikali ngazi ya nyumba kumi mpaka juu hapo ndo kutakuwa na siasa za maana ili si hizi za sasa siasa za kishetani.
 
Ili watume ujumbe kwa matendo kuwa hawana imani na chombo kinachoendesha chaguzi nchini.
Kwa tatizo ni chombo... that is just a scapegoat!!!

The problem is no synchronization between the wananchi needs and the chama agenda...
Unfortunately they take their (viongozi) agenda and make them to be Wananchi Agenda....

Kweli inaingia akilini ukimwambia mwananchi ana shida na uhuru wa maoni wakati anajua hajawahi kuwa na hilo tatizo etc... the fact kwamba hamruhusiwi kuwa kwenye majukwaa uchaguzi hadi uchaguzi... that is problem of politicians and not wananchi....

cc JokaKuu
 
ushauri wangu kwa makamanda,cha muhimu sana kabla ya uchaguzi wa 2020 ni kupigania katiba mpya ya wananchi,bila yakatiba mpya nchi hii ipo chini ya himaya ya ufalme na sio democrasy,tuache siasa za kitoto za kushindana na wenye nguvu bila ya katiba mpya mwenye nguvu ndio atakuwa mshindi katika kila kitu,na mwishoe ikiwa hakuna tamaa ya kupata katiba watu dhaifu wote watampigia magoti mwenye nguvu, kama hao waliohama chama hivi karibuni,wote wamesalim amri
Ndugu yangu hii nchi ina katiba... na ina Bunge ambalo majority ni hao hao... so... acheni kudanganya wenzetu wapiganie jambo ambalo hawataliweza.
 
Hivyo huko Kenya walivyosusia Uchaguzi imesaidia eeh... haya danganyweni na Nyani Ngabu

Demokrasia ni kufanya mabadiliko kwy sanduku la kura na sio zaidi ya hapo...
 
Back
Top Bottom