Ushauri kwa Makamanda: Kuhusu kususia chaguzi

Ushauri kwa Makamanda: Kuhusu kususia chaguzi

Jamani, hapa piga ua, hata aje malaika, tatizo la nyie kushindwa ni watanzania hawawakubali. Mjitathmini.
 
mijitu mikubwa na akili zao eti inaenda kwenye uchaguzi huku ikijua kabisa Tume ya uchaguzi ni ya CCM

ukiwashauri wanatukana, beza, matusi bila hata kuangalia mantiki ya mtoa ushauri

cha kufanya

1. waache kila kitu wapiganie tume huru na taratibu za uchaguzi

2. waache chuki, zinawapofua! upuuzi wa kumpenda uhuru kisa raila ni rafiki wa magufuli that was stupidity of the highest order! leo wana nguvu gani ya kulaumu maana haya ndio yale ya uhuru kenya

3. viongozi wao sio miungu, ni watu wanaopaswa kukosoreka, kushauriwa na ukiona hawaeleweki tambaa

4. waache kujipa matumaini yasiyokuwepo KUONGEA KWA MSISITIZO KWA VITISHO AU SAUTI kubwa havikufanyi kukubalika kwa watu, sana sana wanakuogopa na kuwa wanafiki..kumbuka KURA INATOKA MOYONI! unatakiwa kuingia kwenye mioyo ya watu na sio kwenye vichwa vya watu, moyoni hauingiia kwa violance you shuld be trusted first

5. sio kila kitu kupinga, issue za madini, maknikia na tumbua tumbua chadema walipaswa kuvikubali vyote , hata kwa kwa kinafiki ili kupata MASS support ambayo ina msupport magufuli na kisha KUONGEA POLITELY how they will it better than magufuli kwa kuleta utofauti wenye lengo lile lile!! upuuzi aliokuwa anauongea Lissu bila heshima na kujali hisia za wengine na hasa za kiongozi wa taifa hazikupaswa kuwepo, unapomdhalilisha kiongozi wa kitaia haumii yeye tu, wanaumie wengi pia! hili ni somo pana sana, mniite kwa two days seminar how innocent souls that they love president zinaumia wanapoona rais anaumia, na hawa innocent soul ndo wapiga kura!......mtatukana tena

6. Toeni ushauri mbadala kwa kila tatizo! kuwe na writeups kuwa chadema walisema watafanya haya, KUKOSOA RUKSA, tumia lugha nzuri na kisha ELEZEA MBADALA wake, ambao unajua utaingia kwa wananchi over time, days, years even decades!

mwaka wa 20 sasa tunabaki tunatukanana watu wenye lengo moja kutaka mabadiliko ila njia na mawazo tofauti! personally nataka CCM waondoke hata leo hii, ila sio kwa upinzani huu, sio kwa wahuni kama Mbowe, Mbowe huwa najua kabisa hata ukimpa urais hatautaka, atakachotaka ni pesa tu, ni mafia tapeli na anayetoa false hopes....kuna wakati unawaza ni sehemu ya ccm ya kuwadanganya wanachadema na mabadiliko feki ambayo yeye hana mpango nayo

Hivi kwa akili za kawaida kabisa kabisa mkiwa na makende yenu, tume ya uchaguzi kweli iko huru mpaka mpeleke suruali zenu kupiga kura???, halafu mkishindwa mnalalamika, mna tofauti gani na mbwa ambaye analalwa na madume kumi kila mwaka na anazaa tu! akimaliza tena analalwa kwa uchungu, kisha mwakani anarudia, hata baba wa watoto hajui! sasa mpe ushauri mbowe na chadema uone!! watakomaa hivyo hivyo kana kwamba wanaotea vile

ebu amkeni bana, priority ni Tume huru ya uchaguzi kelele zingine mnajipotezea muda

sio mara ya kwanza

Mwongozo wa JF: What should start Tume Huru ya Uchaguzi au Katiba?
Ok, assume wameukubali ushauri wenu ninyi maadui zao.

Baada ya kususia, what’s next? Nipe tu kama one.
 
Huwezi kushinda uchaguzi wa marudio KWA SASA, itakuwa ni kupoteza muda na nguvu, yaani wasimamizi wa uchaguzi ni wakurugenzi!!! Twendeni mahakamani kuchallenge constitutionality ya tume huru ya uchaguzi, wakurugenzi wakiwa wasimizi
 
People’s.....

Ama baada ya salaam, ngoja tu niwape ushauri ingawa huwa hampendi kushauriwa wala kukosolewa.

Ni mara kadhaa sasa humu nimekuwa nikiwaasa kususia chaguzi na mmekuwa mkinibeza.

Baada ya kisago cha jana ndo mmeanza kuzinduka na kuona umuhimu wa huo ushauri wangu.

Sasa basi, kwanza poleni sana maana mmeshindwa vibaya mno. Pili, muwe mnakubali kukosolewa hususan ukosoo unaolenga katika kuwajenga.

Siyo kila anayewakosoa ni CCM au sijui kanunuliwa na CCM.

Hamjachelewa sana...mnaweza kabisa kubadilika. Kwa hiyo badilikeni kabla hamjachelewa.
Mkuu hongereni kwa uteuzi, twawasubiri siku ya kuapishwa msalimie balozi na usiku mwema or sorry siye huku ndio usiku nyie bado mpo Super market !
 
Mm tz hii sitokuja wai amka asubh naenda kupiga kura ......maana tangu nipewe ata iyo kadi naitumia tuu kwa mambo binafsi awato wai kuja iona kwao huko...
 
Acha hizo wewe, hakuna anasiyekubali kukosolewa ila ukikosoa kinafiki lazima upewe ukweli wako. Wewe sema ukipewa ukweli wako unakwazika. Tuje kwenye ushauri wako, hiyo mbinu ya kususia uchaguzi ni sawa, je baada ya kususia ni hatima yake? Tuliona uchaguzi wa ZnZ Cuf walisusia, ni kipi walifanikiwa? Mkuu ukija na wazo tupe na mafanikio ya wazo lako na ukiwa na mifano itapendeza.
bora kususia kutakuwa kumetoa ujumbe kwa wanachi kuwa hamkubaliani na uchaguzi kuliko kushiriki uchaguzi unaojua kabisa unaenda kushindwa
 
Hawa tulishawapa ushauri mara kibao hawasikilizi. Kama Arsenal vile..... "Tutafanya vizuri msimu ujao"
 
UCHAGUZI WA MARUDIO WA WABUNGE UNAOKUJA MSIINGIZE TIMU MPAKA TUME YA UCHAGUZI IPELEKE WAFANYAKAZI WAO TOKA TUME KWENYEWE. WAKURUGENZI WAKISHIRIKI MJUE HAMPATI HATA MBUNGE MMOJA KWANI HAO WOTE NI MAKADA WA CCM. BORA KUMUACHIA NGURUWE SHAMBA LA MIHOGO KULIKO KUPOTEZA NGUVU WAKATI UKIJUA HUPATI KITU
Mleta mada kwanza nikusifu kuwa wewe mkereketwa wa upinzani usiyejali unapata pesa au LA! Hongera kwa hilo uwe sahihi au LA sisemi hapa.Ila upinzani viongozi ni viongozi maslahi ukiwaambia wasuse ruzuku watailaje .kuna posho za safari nk tenda wanajipa kuanzia matangazo,magari nk posho za safari nk wakisusa unataka wafe maskini? Waligombea washike fuko LA ruzuku wabomoe wewe unaleta ushauri koko wako wa kususa? Nani atakusikiliza wewe?
 
Wananchi kwa nini mnayakubali matendo ya ccm???????? Kweli tunataka nchi isiyo na uhuru???
 
People’s.....

Ama baada ya salaam, ngoja tu niwape ushauri ingawa huwa hampendi kushauriwa wala kukosolewa.

Ni mara kadhaa sasa humu nimekuwa nikiwaasa kususia chaguzi na mmekuwa mkinibeza.

Baada ya kisago cha jana ndo mmeanza kuzinduka na kuona umuhimu wa huo ushauri wangu.

Sasa basi, kwanza poleni sana maana mmeshindwa vibaya mno. Pili, muwe mnakubali kukosolewa hususan ukosoo unaolenga katika kuwajenga.

Siyo kila anayewakosoa ni CCM au sijui kanunuliwa na CCM.

Hamjachelewa sana...mnaweza kabisa kubadilika. Kwa hiyo badilikeni kabla hamjachelewa.
Sasa mbona hujawatag hawa?
Swiss me BAK Waterloo
 
Uehodaya ndiyo mnavyofanya huko kwenu?
Chadema odinga aliposusa uchaguzi Kenya Chadema humu walisema to hell with him.Uchaguzi uendelee bila odinga.Chadema mkisusa ushauri muliompa Kenyatta CCM tutautumia tutafanya uchaguzi bila nyie.Asante kwa ushauri mliompa Kenyatta kuhusu upinzani kususia uchaguzi .CCM tunauchukua kama precedence mkisusa sio big issue mko free kugombea kupiga kura au kususa ndio demokrasia.
 
Sasa mbona hujawatag hawa?
Swiss me BAK Waterloo
Shiiiiiiii ongea taratibu Hao unaowataja wako chooni wameshikiwa na tumbo LA kuharisha toka walipopata matokeo ya udiwani kuwa chadema imepata kitu kimoja cha udiwani wako na salary Slip hadi SAA hii wanaharisha nasikia mwana jamii forums mwenzenu salary slip kazimia kwa kuharisha.
 
Hawa tulishawapa ushauri mara kibao hawasikilizi. Kama Arsenal vile..... "Tutafanya vizuri msimu ujao"
Wakisusa posho wanazopata kwenye kampeni kila siku kwa miezi ya kampeni utawapa wewe ili wasuse? Watailaje ruzuku?
 
Back
Top Bottom