Mi baba msukuma mama mhaya....japo sijakulia pote sio uhayan Wala usukumani mama wazazi wangu walikua wafanyakaz so tumekulia mjini so nimekuja kuolewa na wasukuma inanipa shida ...jamaa yangu msukuma aliesoma ila hajaelimika binafsi sijui shamba lkn jamaa analazimisha nijifunze kulima Sasa kwa umri huu badala tuwaze maendeleo nianze kujifunza kulima ili inisaidie nn??
Walinikela nimeolewa baada ya miez 2 wakwe wanauliza Kama nimeshapata mimba au bado
____ binafsi nimezoea Kila mtu anakula sahan lake Sasa hawa ndugu zangu tupo 5 lkn tunakula sahan moja na wanavyokula Sasa mtu anajilamba vidole vyote then anachovya tena wenyewe wanaamin kula tofauti ni uchoyo...
Napenda ndoa na mume nampenda bt tabia zimenishinda
kibaya zaidi ukute mume yupo upande wao utalia
yan hujaelewa kwetu tulikua tunakula Kila mmoja sahan lake ila nimeolewa mume hataki anadai ni uchoyo so wote mnakula bakuli moja sahan moja
Huwajui wasukuma wewe!!
Dada umeingia mitini kwenye ule uzi wako wa "kutuma miamala".Hahahhahahahaha
Wa kabila langu simtaki ...wasukuma siwataki...wakurya siwataki ...wamasai pia siwataki ....
Naruhusu povu kadri sabuni inavyoruhusu
Kwakweli hahahaHahahaha mm ndo kabisa wa kabila langu siwataki wabahili hatar hahahhaha
Uongo hao ni wasukuma gani unao wasemea hamna mtu mkalimu kama msukuma tena tuna upendo wa dhati kama.upo songea sema nikuweke ndaniWasukuma wazuri kuchepuka nao tu lakini kukumiliki labda awe amesoma au ametembea sehemu tofauti tofauti
Wana shida ya kusombana familia nzima hivyo basi mnaweza kuwa mmeshakula mara paap wanaingia ndugu wa mumeo mama utarudi jikoni uwapikie kwa siku unaweza kupika hata mara nne,,,,,, hilo moja
Wanapenda kurundikana kwa ndugu yao hasa upande wa mume yaani unaweza kuta mmepanga chumba na sebule lakini wakaja ndugu zaidi ya watano wakikuta na tv sasa heheheheeee hawaondoki ng'o unakuwa unafanya kuwapikia tu
Wasukuma wengi wakishakuoa wewe kwake ni km mfugo sio mke,,, kifuatacho ni kupatiwa ardhi ukalime
Mke wa msukuma yeye ni jembe begani kuni zake kuchunga yeye majukumu yote ya kifamilia kuanzia kutafuta chakula na kulea watoto ni la mwanamke,,, mwanaume anaonekana wakati wa mavuno tu
Acheni roho mbaya mbona sie kina nyanda mnatuonea sana mbona ni watu poa tuninamtoto wa kike kati ya vitu nitakua namwambia akikua asije olewa na msukuma labda awe wa mjini
...yeye anaweza kua wa mjini ila ndugu zake Sasa!!!
Uchoyo unakusumbua hujui ndugu ni baraka na kuhusu mtoto ni muhimu tena wamekuhurumia ilibidi ndani ya mwezi1 uwe na mimba tayariMi baba msukuma mama mhaya....japo sijakulia pote sio uhayan Wala usukumani mama wazazi wangu walikua wafanyakaz so tumekulia mjini so nimekuja kuolewa na wasukuma inanipa shida ...jamaa yangu msukuma aliesoma ila hajaelimika binafsi sijui shamba lkn jamaa analazimisha nijifunze kulima Sasa kwa umri huu badala tuwaze maendeleo nianze kujifunza kulima ili inisaidie nn??
Walinikela nimeolewa baada ya miez 2 wakwe wanauliza Kama nimeshapata mimba au bado
____ binafsi nimezoea Kila mtu anakula sahan lake Sasa hawa ndugu zangu tupo 5 lkn tunakula sahan moja na wanavyokula Sasa mtu anajilamba vidole vyote then anachovya tena wenyewe wanaamin kula tofauti ni uchoyo...
Napenda ndoa na mume nampenda bt tabia zimenishinda
kibaya zaidi ukute mume yupo upande wao utalia
ninamtoto wa kike kati ya vitu nitakua namwambia akikua asije olewa na msukuma labda awe wa mjini
...yeye anaweza kua wa mjini ila ndugu zake Sasa!!!
My dear hata wakielimika bado wanakuwa na huo usukuma ndani yao, very conservative.Wasukuma wazuri kuchepuka nao tu lakini kukumiliki labda awe amesoma au ametembea sehemu tofauti tofauti
Wana shida ya kusombana familia nzima hivyo basi mnaweza kuwa mmeshakula mara paap wanaingia ndugu wa mumeo mama utarudi jikoni uwapikie kwa siku unaweza kupika hata mara nne,,,,,, hilo moja
Wanapenda kurundikana kwa ndugu yao hasa upande wa mume yaani unaweza kuta mmepanga chumba na sebule lakini wakaja ndugu zaidi ya watano wakikuta na tv sasa heheheheeee hawaondoki ng'o unakuwa unafanya kuwapikia tu
Wasukuma wengi wakishakuoa wewe kwake ni km mfugo sio mke,,, kifuatacho ni kupatiwa ardhi ukalime
Mke wa msukuma yeye ni jembe begani kuni zake kuchunga yeye majukumu yote ya kifamilia kuanzia kutafuta chakula na kulea watoto ni la mwanamke,,, mwanaume anaonekana wakati wa mavuno tu
Mambo gani ya kuchafuana huku jf..wasukuma ni no.1 priority kwanzaninamtoto wa kike kati ya vitu nitakua namwambia akikua asije olewa na msukuma labda awe wa mjini
...yeye anaweza kua wa mjini ila ndugu zake Sasa!!!
Uongo hao ni wasukuma gani unao wasemea hamna mtu mkalimu kama msukuma tena tuna upendo wa dhati kama.upo songea sema nikuweke ndani
Makubwa hayaUchoyo unakusumbua hujui ndugu ni baraka na kuhusu mtoto ni muhimu tena wamekuhurumia ilibidi ndani ya mwezi1 uwe na mimba tayari
Kuna ngosha anabisha hapo juuMy dear hata wakielimika bado wanakuwa na huo usukuma ndani yao, very conservative.
Mambo gani ya kuchafuana huku jf..wasukuma ni no.1 priority kwanza
Wakarimu,wapole,wanajua kupenda nakuthamini,sio wachoyo,giants,wanapenda family,watafutaji wengine wataongezea
Wabeja sana.
Inawezekana mbonaNdio wenye nchi si ajab ata magogon wanafanya hvyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wabishe tu ila ukweli ndio huo.Kuna ngosha anabisha hapo juu