Ushauri kwa mabinti

Wewe unaonekana mchaga na tabia za wachaga ni kupenda pesa sasa muoane wachaga wenyewe
 
Kwenye Muamala wa kifamilia hawako pouwa kwasababu wale ni Anti social hawajazoea kukaa na watu wa jamii nyingine huwaga wanajitenga maporini pekeyao wakija mjini ndio inakuwa shida

Kinachonishangazaga kwa jamaa kuvaa hereni, shanga na vitenge yaani wantantuzu acha tu uzi hautoshi kuwaelezea hawa jamaa tulipokuwa Dodoma jamaa tulikuwa tunawaita Watalii
 
Ndo napowapendea hapo kwenye kutoa sio mikono ya birika
 
Hahahaha tumehamisha mada lakini mleta mada akisema ameshindwa mi namuelewa kabisa na jinsi alivyoishi peke yake muda mrefu kuanza kuzoea taratibu nyingine na ameolewa na msukuma og,,, akishindwa amuache tu maisha mafupi sana kuishi pasipo furaha
 
Write your reply... kabila sio tatzo, labda wewe ndio tatizo ndio maana huwezi kuish na mwanaume
 
Ndo napowapendea hapo kwenye kutoa sio mikono ya birika
Jamaa hela wanazo sana kwasababu ya Utajiri wa ng'ombe nimeshuhudia sana jamaa wakikamatiwaga ng'ombe wao Reserve na Askari wa Magame hutoa rushwa hata ya mil10 ili ng'ombe wake waachiwe

Sasa imagine kwamtu kama huyo atashindwa kuhonga 200k ?
 
Hahahaha tumehamisha mada lakini mleta mada akisema ameshindwa mi namuelewa kabisa na jinsi alivyoishi peke yake muda mrefu kuanza kuzoea taratibu nyingine na ameolewa na msukuma og,,, akishindwa amuache tu maisha mafupi sana kuishi pasipo furaha
Ok tosha
 
usikatae kabisa na ndio wananifanya nivunje hi ndoa...nimeolewa mwez mmoja wakaja 3 nakaa nao hapa tuna vyumba 2 na sebule na wapo jinsia 2 tofauti bado hii likizo wamekuja wengine 2 so tupo watu 7 tuna vyumba 2 na sebule tumepanga tunalalaje?
Pole dada mi mwenyew boss wangu ni tribe iyo ana mambo ya ki local mpaka basi.primitive kuna kipindi nilitaman nimpige,issue ndogo anavyo itanua.afu kwa visasi usiseme
 
Ushauri namba moja sijui ila namba mbili naona una mantiki. Hata mimi huwa nawaza kama wewe
 
Wa kabila langu simtaki ...wasukuma siwataki...wakurya siwataki ...wamasai pia siwataki ....

Naruhusu povu kadri sabuni inavyoruhusu
 
Wamenilea nawashukuru sana lkn kwa tamaduni zao na niliyoshuhudia waume waliyofanya kwa wake zao,,, toka mdogo kabisa nilijisemea ni marufuku kuolewa usukumani
Hahahaha nawajua saana maana naish nao hadi sasa
 
Kama mm aisee kabila langu nawaonaga kama dada zangu ata mtu akisema ni kabila langu mapenzi yataishia apoapo
 
tu
mebadirika sana sikuhizi yote hayo hayapo karibuni kwangu
 
Duh aiseee pole mm nisingeweza lakini mnawzaje kula pamoja huwezi kuamua2 kujipakulia chako ata kama wakinuna sms mwingine wakuibadili hali ya nyumba ni mwanamke ila iyoo ndoa sidhani kama inamuendelezo mwema kwa tabia izooo
 
Hao wanaume watatu wote ni kabila moja?
 
Hapo namba mbili naweza kubaliana na kukataa hoja yako

Kama ni kuoana kabila moja kwa sasa siungi sana hii hoja ila kama ni kuoana watu wa malezi yanayofanana nakubaliana na wewe kwa zaidi ya asilimia 85%

Ni kweli mkioana watu ambao mnapishana sana malezi lazima mtatofautiana , ni bora mkaoana watu mnaoishi falsafa moja si huyu amelelewa hajawai chapwa na wazazi wake alafu wewe uliekuzwa kwa viboko unaenda kuoa hapo hapo aise mtatofautiana sana malezi hapo ndipo unaona watoto wanamchukia mzazi mmoja hivi hivi

Au wewe umelelewa na familia baba na mama wote wafanyabiashara ukaenda kuoa/kuolewa na mtu baba na mama wote wafanyakazi wa serikali hapo sahau habari ya kushirikiana kukuza uchumi wenu nyie hamfanani kabisa dhana ya uchumi wa familia lazima mtapishana tu
 
Haaah kweli hata mm nisingeweza
usikatae kabisa na ndio wananifanya nivunje hi ndoa...nimeolewa mwez mmoja wakaja 3 nakaa nao hapa tuna vyumba 2 na sebule na wapo jinsia 2 tofauti bado hii likizo wamekuja wengine 2 so tupo watu 7 tuna vyumba 2 na sebule tumepanga tunalalaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…