Wasukuma wazuri kuchepuka nao tu lakini kukumiliki labda awe amesoma au ametembea sehemu tofauti tofauti
Wana shida ya kusombana familia nzima hivyo basi mnaweza kuwa mmeshakula mara paap wanaingia ndugu wa mumeo mama utarudi jikoni uwapikie kwa siku unaweza kupika hata mara nne,,,,,, hilo moja
Wanapenda kurundikana kwa ndugu yao hasa upande wa mume yaani unaweza kuta mmepanga chumba na sebule lakini wakaja ndugu zaidi ya watano wakikuta na tv sasa heheheheeee hawaondoki ng'o unakuwa unafanya kuwapikia tu
Wasukuma wengi wakishakuoa wewe kwake ni km mfugo sio mke,,, kifuatacho ni kupatiwa ardhi ukalime
Mke wa msukuma yeye ni jembe begani kuni zake kuchunga yeye majukumu yote ya kifamilia kuanzia kutafuta chakula na kulea watoto ni la mwanamke,,, mwanaume anaonekana wakati wa mavuno tu
Loh!
Kuna rafiki yangu ameolewa na msukuma naye sijui anapitia haya
Hapo ndugu wanakuja kuishi kabisa katika chumba na sebule tulichopanga wanakuwa hawana kwao ama?
Mnaishi nao hapo kwenye chumba na sebule wao hata wakilala km ngumi mradi kuna tv maisha yatasonga tu
Asante mama TerryUshauri namba moja naona kama ni wewe tu umeshindwa kuendana na unaokutana nao....yani umeshindwana tabia na wanaume watatu hapo kwa haraka haraka wewe ndio mwenye matatizo (japo kwa asilimia chache sana inawezekana hao wanaume watatu wote ndio wenye matatizo)
Ushauri namba mbili siungi mkono hoja...wanasema mkataa kwao mtumwa,mie sipakatai kwetu(asili yangu) ila sitaki kabisaaaaa kuja kuolewa achilia mbali kudate mwanaume wa kabila langu
Ningewaambia waondoke asee
Mama Terry???😃😃Asante mama Terry
Ushauri namba moja naona kama ni wewe tu umeshindwa kuendana na unaokutana nao....yani umeshindwana tabia na wanaume watatu hapo kwa haraka haraka wewe ndio mwenye matatizo (japo kwa asilimia chache sana inawezekana hao wanaume watatu wote ndio wenye matatizo)
Ushauri namba mbili siungi mkono hoja...wanasema mkataa kwao mtumwa,mie sipakatai kwetu(asili yangu) ila sitaki kabisaaaaa kuja kuolewa achilia mbali kudate mwanaume wa kabila langu
Hahahahaha unaondoka wewe unawaacha wao,,,, watakuja hapa utawasikia watakavyoponda tulivyo na roho mbaya za uchoyo
Kuna uchoyo na kushindwa kuendekeza ujinga
Yani mje mjazane katika chumba na sebule ninyamaze?kwa kweli nionekane mchoyo tu
Halafu wala sijabisha...kama kaandika yeye ndio mwenye tatizo na mi nikaja kuandika kwamba yeye ndio mwenye tatizo hapo means nimekubaliana nae,sio kubisha.Amekubali kuwa yeye ndio tatizo kwakuwa aliishi peke yake muda mrefu akazoea Uhuru wake..Sasa kuwa chini ya mtu anaona tabu....kiasi Fulani Yuko sahihi Wala usibishe sana.
Mungu aniepushe kwa kweli mana kuendekeza ujinga siwezagiWale watu mambo yao sometimes ni vichekesho
Kuna aina tano za wake.
1. Mke sanamu.
Huyu ni mfungwa wa mme. Yupo kila siku kukubaliana na anachoambiwa.
2. Mke msaidizi.
Huyu ni msaidizi wa mme. Huyu ni kama secretary...ataandika barua ila ataongeza maneno yake tofauti na yule wa kwanza.
3. Mke mshirika.
Huyu ni partner wa maisha...hushiriki popote kwenye maamuzi. Wananegotiate kabla ya kufikia mwaafaka. Huyu siku yakiwafika anamsikiliza mme.
4. Mke mwenza.
Huyu ukiingia ndani hujui nani mke nani mme. Kitakachokuonyesha ni mavazi au sauti ya kike na ya kiume.
5. MKE mtata.
Huyu ndiye jogoo wa nyumba. Mme hana sauti ndani ya nyumba.
Zamani waliruhusiwa watoto wa kiume kuishi nje ya nyumbani.
Na ilikuwa tukichelewa na dada zetu maswali kwetu yanakuwa machache tofauti na dada zetu.
Mwanamke unaishi mwenyewe 5 years..ndani..nje na wazazi... Dunia haijawa salama kiasi hicho.
Usilaumu nduguKuna aina tano za wake.

Usilaumu ndugu
Mfano nilikuwa kwenye mahusiano ten years,, Bahati mbaya pendo likafa
Kuanzia 2016 Mpaka sasa nipo kama msela Fulani, so ni namna gani unajjtambua na utajitunza ukawa mwanamwali mwema,,
Halafu siku hizi vijana hamuoi jaman
Sasa msilaumu wanawake kuwa single for long time[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe, ka'MALAYA, [emoji1][emoji41][emoji7][emoji38][emoji39][emoji39]Natumai mko POA
Leo acha niwe mshauri kwa mabinti ambao hamjaolewa
1) nawashauri msikae kibachelor mda mrefu Ni mbaya Sana mfano bint anatoka kwao anapanga chumba chake anakua na kazi yake kwa muda mrefu kuanzia miaka 4,5... Nimbaya sababu ukija kuolewa unaona kuishi na kua chini ya mtu unaona Kama adhabu flan....
Mfano Mimi nimekaa mwenyewe tangu 2010 ndio nimeanza maisha ya kupanga nilijaribu kuolewa hapo nyuma nikashindwa inshort nimeshindwa ndoa 2( japo si za kanisan) na hii ya 3 inaenda kunishinda soon...nimezoea kujiamulia mwenyewe,nimezoea kufanya vingi peke angu et Sasa hv mpaka et upitie kwa mtu.... mshahara wangu mwingine aupangie matumiz Ni kitu Cha kawaida lkn inakua ngum kwangu sababu nimezoea kukaa mwenyewe
2) ushauri kwa wake kwa wanaume oaneni watu wa jamii moja
Sio ubaguzi lkn inasaidia maana tabia nyingi mnaendana
Binafsi niliolewa na nimeolewa na kabila tofauti na Mimi dah!! Inanipa shida sababu naona vitu tabia nyingi tuko tofauti
Kwa leo niishie hapa
Part 2 inakuja
anaweza ingia chumbani kwako akachukua nguo yoyote yako akavaa ukimnyima ndio uchoyoKuna uchoyo na kushindwa kuendekeza ujinga
Yani mje mjazane katika chumba na sebule ninyamaze?kwa kweli nionekane mchoyo tu