Ushauri kwa mabinti

Ushauri kwa mabinti

Anna pita

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Posts
227
Reaction score
427
Natumai mko POA
Leo acha niwe mshauri kwa mabinti ambao hamjaolewa

1) nawashauri msikae kibachelor mda mrefu Ni mbaya Sana mfano bint anatoka kwao anapanga chumba chake anakua na kazi yake kwa muda mrefu kuanzia miaka 4,5... Nimbaya sababu ukija kuolewa unaona kuishi na kua chini ya mtu unaona Kama adhabu flan.

Mfano Mimi nimekaa mwenyewe tangu 2010 ndio nimeanza maisha ya kupanga nilijaribu kuolewa hapo nyuma nikashindwa inshort nimeshindwa ndoa 2( japo si za kanisan) na hii ya 3 inaenda kunishinda soon...nimezoea kujiamulia mwenyewe,nimezoea kufanya vingi peke angu et Sasa hv mpaka et upitie kwa mtu.... mshahara wangu mwingine aupangie matumiz Ni kitu Cha kawaida lkn inakua ngum kwangu sababu nimezoea kukaa mwenyewe

2) ushauri kwa wake kwa wanaume oaneni watu wa jamii moja
Sio ubaguzi lkn inasaidia maana tabia nyingi mnaendana
Binafsi niliolewa na nimeolewa na kabila tofauti na Mimi dah!! Inanipa shida sababu naona vitu tabia nyingi tuko tofauti
Kwa leo niishie hapa.

Part 2 inakuja
 
Ushauri namba moja naona kama ni wewe tu umeshindwa kuendana na unaokutana nao....yani umeshindwana tabia na wanaume watatu hapo kwa haraka haraka wewe ndio mwenye matatizo (japo kwa asilimia chache sana inawezekana hao wanaume watatu wote ndio wenye matatizo)

Ushauri namba mbili siungi mkono hoja...wanasema mkataa kwao mtumwa,mie sipakatai kwetu(asili yangu) ila sitaki kabisaaaaa kuja kuolewa achilia mbali kudate mwanaume wa kabila langu
 
Haya madini ya leo nimeyapenda niambukizepo na mimi basi
 
Ushauri namba moja naona kama ni wewe tu umeshindwa kuendana na unaokutana nao....yani umeshindwana tabia na wanaume watatu hapo kwa haraka haraka wewe ndio mwenye matatizo (japo kwa asilimia chache sana inawezekana hao wanaume watatu wote ndio wenye matatizo)

Ushauri namba mbili siungi mkono hoja...wanasema mkataa kwao mtumwa,mie sipakatai kwetu(asili yangu) ila sitaki kabisaaaaa kuja kuolewa achilia mbali kudate mwanaume wa kabila langu
Wanawake wa kikurya walioelimika hawatak kabisa kuskia hbr ya kuolewa na wanaume wa kabila lao...
Eti joanah naww ni kutoka kanda maalum? Kama utajibu ndio... Hv ni kipigo wanahofia au nn?
 
Jibu ni hapana
 
Ushauri namba moja naona kama ni wewe tu umeshindwa kuendana na unaokutana nao....yani umeshindwana tabia na wanaume watatu hapo kwa haraka haraka wewe ndio mwenye matatizo (japo kwa asilimia chache sana inawezekana hao wanaume watatu wote ndio wenye matatizo)

Ushauri namba mbili siungi mkono hoja...wanasema mkataa kwao mtumwa,mie sipakatai kwetu(asili yangu) ila sitaki kabisaaaaa kuja kuolewa achilia mbali kudate mwanaume wa kabila langu
Upo bachelor?? je umeolewa baada ya kukaa geto kwa muda gani? Nijibu hapa kwanza
 
Ushauri namba moja naona kama ni wewe tu umeshindwa kuendana na unaokutana nao....yani umeshindwana tabia na wanaume watatu hapo kwa haraka haraka wewe ndio mwenye matatizo (japo kwa asilimia chache sana inawezekana hao wanaume watatu wote ndio wenye matatizo)

Ushauri namba mbili siungi mkono hoja...wanasema mkataa kwao mtumwa,mie sipakatai kwetu(asili yangu) ila sitaki kabisaaaaa kuja kuolewa achilia mbali kudate mwanaume wa kabila langu
Namba 2 Kama ww sio msukuma ukiolewa na hawa watu utaelewa namaanisha nn tena ukute wale wakijijin utaisoma namba
 
Yaani sio wewe tu

Hamna hata sivuti...natania tu
Hahahaha najua unanitania leo umeshiba kweli nimepita sehemu km tatu hivi nakugongea ka like kwa hapa nikaona hebu niulizepo tu,,,
App haina emoji natamani ningekupigia makofi mengi,,,,, hebu jipigie makofi
 
😂😂😂😂
👏👏👏👏 kwangu!
 
Wasukuma wazuri kuchepuka nao tu lakini kukumiliki labda awe amesoma au ametembea sehemu tofauti tofauti

Wana shida ya kusombana familia nzima hivyo basi mnaweza kuwa mmeshakula mara paap wanaingia ndugu wa mumeo mama utarudi jikoni uwapikie kwa siku unaweza kupika hata mara nne,,,,,, hilo moja

Wanapenda kurundikana kwa ndugu yao hasa upande wa mume yaani unaweza kuta mmepanga chumba na sebule lakini wakaja ndugu zaidi ya watano wakikuta na tv sasa heheheheeee hawaondoki ng'o unakuwa unafanya kuwapikia tu

Wasukuma wengi wakishakuoa wewe kwake ni km mfugo sio mke,,, kifuatacho ni kupatiwa ardhi ukalime

Mke wa msukuma yeye ni jembe begani kuni zake kuchunga yeye majukumu yote ya kifamilia kuanzia kutafuta chakula na kulea watoto ni la mwanamke,,, mwanaume anaonekana wakati wa mavuno tu

Mimi sio msukuma...kumbe ni wasumbufu hawa wasukuma ukiachilia mbali ile tabia yao ya ushamba!
 
Kuna aina tano za wake.

1. Mke sanamu.

Huyu ni mfungwa wa mme. Yupo kila siku kukubaliana na anachoambiwa.

2. Mke msaidizi.
Huyu ni msaidizi wa mme. Huyu ni kama secretary...ataandika barua ila ataongeza maneno yake tofauti na yule wa kwanza.

3. Mke mshirika.
Huyu ni partner wa maisha...hushiriki popote kwenye maamuzi. Wananegotiate kabla ya kufikia mwaafaka. Huyu siku yakiwafika anamsikiliza mme.

4. Mke mwenza.
Huyu ukiingia ndani hujui nani mke nani mme. Kitakachokuonyesha ni mavazi au sauti ya kike na ya kiume.

5. MKE mtata.
Huyu ndiye jogoo wa nyumba. Mme hana sauti ndani ya nyumba.

Zamani waliruhusiwa watoto wa kiume kuishi nje ya nyumbani.

Na ilikuwa tukichelewa na dada zetu maswali kwetu yanakuwa machache tofauti na dada zetu.

Mwanamke unaishi mwenyewe 5 years..ndani..nje na wazazi... Dunia haijawa salama kiasi hicho.
 
Back
Top Bottom