Ushauri kwa mabinti ambao hawajaolewa bado

Ushauri kwa mabinti ambao hawajaolewa bado

mhhh...wewe naona humjui Bujibuji vizuri, labda leo tu kaamka vizuri
Ubarikiwe pia kwa ujumbe mzuri,
Mungu akuongoze vyema uendelee kutoa ujumbe wenye kuelimisha kama huu.

Napenda sana wewe na ladyfurahia mnavyomtukuza Mungu na kumshirikisha katika mambo mbalimbali ya kujenga jamii (familia) iliyo bora sasa na baadae.
 
asante sana Bujibuji kwa somo hili ila pamenigusa hapa nimeona nicopy na kupaste: 4. Tulia mbele za Mungu Filipi 4:6 Msifadhaike juu ya jambo lo lote; lakini katika kila jambo mjulisheni Mungu haja zenu, kwa kusali na kuomba pamoja na kushukuru Mungu analifahamu hitaji lako na muhimu zaidi anakujua na kukupenda, hajakusahau maana hawezi kukusahau na anakuwazia yaliyo mema. Ebrania 13:5b kwa kuwa yeye mwenyewe amesema, “Sita kupungukia kamwe wala sitakuacha” Yeremia 29:11 Kwa maana ninajua mipango niliyo nayo kwa ajili yenu,’’ asema BWANA. “Ni mipango ya kuwafanikisha na wala si ya kuwadhuru,ni mipango ya kuwapa tumaini katika siku zijazo”. Usikate tamaa, mume wako yupo na atakuja kwa wakati wa Bwana.
 
Last edited by a moderator:
nashukuru my cousin natamani sana nije huko mkoani kukusalimia ila mume wangu ananikatakaza nisiende kwa ndugu zangu anasema eti utaachana na nduguzo na mama, baba utaambatana na mumeo nanyi mtakuwa mwili mmoja hivyo sipaswi kwenda kwani nilishaachana nanyi naomba umsaidie aelewe maandiko vizuri
Ubarikiwe pia kwa ujumbe mzuri,
Mungu akuongoze vyema uendelee kutoa ujumbe wenye kuelimisha kama huu.

Napenda sana wewe na ladyfurahia mnavyomtukuza Mungu na kumshirikisha katika mambo mbalimbali ya kujenga jamii (familia) iliyo bora sasa na baadae.
 
Big up bujibuj,ila vibint vya cku hz hasa vya mujin vnaomba vipate mme handsom na mwenye umatemate!!kwa 2co mahendsamu kaz 2nayo kwelkwel!!

Mkuu, naomba kujua maana ya neno hili..
 
Back
Top Bottom