Ushauri kwa mabazazi wenzangu

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,151
Reaction score
20,077
Kila siku naona kilio wanaume wakilia kukosa wanawake wazuri wa kuoa, haina maana wanawake wa kuolewa hawapo, wapo ila wamehodhiwa na mabazazi.

Nuwaombe mabazazi na wengine wote mnaohodhi idadi kubwa ya wanawake ambao hamtawaoa muwaachie wanaume wengine wapate wa kuoa, unamiliki warembo 10 na wote unawadanganya kuwaoa ingawa kiukweli kutawaoa nadhani uachie 6 ubakie na 4 angalau utakua umwaokoa wanaume 6 mtaani.

Mimi kwa mwaka huu nimerelease warembo 6 kutoka kwenye long list yangu ya warembo ili waangalie wanaume wazuri wenye nia njema na wao.

Tuwapunguzie wenzetu jamani. Nenda live connect na sehem nyingine wanaotafta watu wa kuoa ni wanaume huku wenzao tumehodhi wanawake zaidi ya kumi, tuwapunguzie.
 
Mi nimehodhiwa na hao kumi nimejaribu kila mbinu kuwakimbia lakini wameng'ang'ania sijui ni ule upigaji wa dushelele?
 
unaongea vise versa mbona,wanawake ndio wanaolalamika kukosa wanaume na si vinginevyo
 
Ok wazo zuri, nitawaacha watatu
 
Mengine yana 20 miaka,lakini yamechakaa hayo! Halafu yanaringa kwa sana.
 
unakosa kabisa kila unaekuta nae uchi umezeeka alafu ukimwangalia ni under 23
Hahahaaa, hii balaa. Uchi kuzeeka tena, hii mpya.
Kwa hiyo aiku hizi ng'ombe anazeeka maini mwili unakua mzima.
 
Haki ya nani sijui, mimi nimeacha wanawake 3 niliokuwa nahodhi. Saiv nko single nikitaka mambo yetu yalee namuita mmoja hivi yeye ana akili kama zangu hana mpango wa kuolewa kwa sasa, basi tunamalizana. No strings, kwanza wamenifilisi sana. Ningekua nna plot mbili au tatu sasa hivi kule Buswelu.

Sitaki demu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…