PreGE2025 Ushauri kwa Lissu kuhusu G-55

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Lissu chukua hatua, fukuza hao wanachama waasi wa G55 kabla hawajakizamisha chama. Wakienda mahakamani kupinga kufukuzwa kwo ndio watajimaliza mazima.
 
Hapana, CCM sio wakususia uchaguzi, ndi watafurahi.
Lisu aingize timu, wabunge watakao patikana wakakiwashe bungeni, sauti zitasikika.

Wapambane ndani ya geti
ni sababu CDM wana watu makini wa kukiwasha Bungeni, ndio maana CCM hawatangaza kuwa wameshinda!
 
Hapana, CCM sio wakususia uchaguzi, ndi watafurahi.
Lisu aingize timu, wabunge watakao patikana wakakiwashe bungeni, sauti zitasikika.

Wapambane ndani ya geti
 
Attachments

  • cf0ea736521de32f5d65e1a6b7fd56a4_1743187151179.mp4
    579.6 KB
Hapana, CCM sio wakususia uchaguzi, ndi watafurahi.
Lisu aingize timu, wabunge watakao patikana wakakiwashe bungeni, sauti zitasikika.

Wapambane ndani ya geti
Uchaguzi wa 2020 uliingiza wabunge wangapi wa upinzani??
 
Wakao nao chini waongee, wqkipata mwafaka itapendeza, ikishindikana waondolewe
 
Mbowe hatakuja kuwa na amani maishani mwake kisa kukosa Uenyekiti wa CHADEMA.
 
Usitufundishe jinsi ya kufanya kazi zetu,wewe komaa na chama lenu mfu
 
Nimeshauri mara nyingi sana, chadema iwafukuze haraka iwezekanavyo.
 
Kwenye kampeni akina heche na lema walivokua wanamtukana Mbowe,na yeye angekua na mawazo hayo angewafukuza

Uongozi miezi 2 haujaisha mshaanza fukuzana
Ni bora kuliko kubaki na wasaliti in the name of "mawazo mbadala". Unataka gari lisonge wao wanakanyaga breki.
 
Niwaombe viongozi wa chadema kuwa watulivu kidogo,ushauri wowote kutoka kambi iliyokuwa inapinga Lisu na Heche kukabidhiwa uongozi wa chama ni wa kuchukuliwa kwa tahadhari na umakini mkubwa.Kuibuka kwa G55 ni mtego ambao kuutegua hakuhitaji papara. Tunataka waliochimba shimo wadumbukie wenyewe bila kuacha alama kuwa walikuwepo.
 
Uko sahihi. Akitaka wasilete shida, wafukuzwe kupitia matawi yao.
 
Hapana, CCM sio wakususia uchaguzi, ndi watafurahi.
Lisu aingize timu, wabunge watakao patikana wakakiwashe bungeni, sauti zitasikika.

Wapambane ndani ya geti
2020 Timu ilipoingia uwanjani CHADEMA ilipata Wabunge wangapi wa kuchaguliwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…