Ushauri kwa Lipumba na Maalim Seif | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri kwa Lipumba na Maalim Seif

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAGEUZI KWELI, Oct 4, 2011.

 1. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Baada ya Matokeo haya ya Igunga nyumbani kwa Menyekiti wa CUF Pro. Ibrahimu Haruna Lipumba kuangukia pua kabiiiisaaaaaa na ambapo Makamu wa Rais wa Zanzibar ni katibu wake mkuu.

  Ningeshauri sasa waone chama chao kinapoteza mwelekeo kwa kukaa mdarakani muda mrefu sana na hakuna jipya lolote kwa Sasa la kuwekeza kwenye fikra za watanzania ili kuendelea kuongezeka umaarufu wake.

  Ushauri wangu wa Bure kwao usio na utashi wa kisiasa ni;

  1. Wakubali kuungana na CCM waweke sera moja kiutawala kwani haitakuwa na jipya baada ya kuungana Zanzibar.

  2.Viongozi woote wakuu wakubali kujivua gamba kama sera za mashoga wao CCM ili kujenga nguvu mpya kwa watanzania.

  3.Kukubali fika kuunga mkono chadema kuwa ni chama dume kinacholeta mageuzi kwa watanzania bila kuchafuana kimtizamo na kiimani.

  4. MENGINE WADAU ONGEZEENI MAANA NI USHAURI WA BURE.
   
 2. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ni vizuri waungane na walioshindwa wenzao ili wajaribu tena baada ya kuunganisha nguvu.
   
 3. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,826
  Trophy Points: 280
  Zipo ndoa za wake wawili lakini hakuna ndoa ya mabwana wawawili. Kuwa makini juu ya hili.
   
 4. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Ahsante Daudi kwa jibu hili.maana ukweli unaonekana na mtaji wa kura 10000 umepotea igunga ikaenda kwa CCM..Sasa iweje tuoane na wao wakati tayari wapo katika ndoa???
   
 5. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,826
  Trophy Points: 280
  Umepanic sana kijana, hebu vuta pumzi alafu relax.Wanachama wengi wa CUF mnaandamwa na ugonjwa wa kukosa political tolerance na huu ugonjwa ndani ya CUF muasisi wake ni Mtatiro na matokeo ya ugonjwa huu unaokutesa bwana Mwera ni zile kura 0 mlizozipata kwenye vituo vingi vya uchaguzi Igunga. 2015 CUF inazikwa rasmi.
   
 6. O

  Omr JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  CUF huku bara ni Jina tu, wao muhimu ni Zanzibar. huku kwetu wako ili lipumba ende choo tu. Waking'oa majeshi Lipumba atakufa njaa.
   
 7. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,826
  Trophy Points: 280
  Hatutaki mazoea na mke wa mtu, Tena walipigwa ndoa ya mkeka baada ya kufumwa.
   
 8. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #8
  Oct 4, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hili jina la Mwera kama ndiye yule wa Tarime aliyefikiri bado anakubalika na kugombea kupitia CUF akaangukia pua vilevile,
  No comment kwa Sababu ccm kuna laana ya kufikiri kutumia masaburi na Cuf kuna laana ya kuwa mazezeta wa Kisiasa


   
 9. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #9
  Oct 4, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nyie wote bwana yenu ni CCM amewafanya vibaya igunga na ndio mtawala wa nchi . Nashangaa mnaanza kusutana tena !
   
 10. Said Bagaile

  Said Bagaile JF-Expert Member

  #10
  Oct 4, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 686
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ningeongezea kidogo, si kwamba cuf imeonyesha kuwa haipo tena huku bara kwenye uchaguzi wa Igunga tu, angalia hata matokeo ya madiwani jamaa wameendelea kutoka na namba za viatu vya kike, sehemu waliopata kura nyingi za madiwani ni kura 4.
  Ushauri wangu kwa Seif na Lipumba ni kwamba wapishe damu mpya wao wawe washauri tu badala ya kung'ang'ania madaraka tu.
   
 11. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #11
  Oct 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  wanaojiita wanaume huko zanzibar, huku bara ni mdebwedo kabisa, ndo maana nakubaliana na mtoa thread kwamba, CUF wahamie tu zenji bara watuachie wenyewe wanaume wa kazi, peopleeeeeeeeeez, pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
   
 12. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #12
  Oct 4, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Good advice take it Mr Seif and Prof. Lipumba join with CCM and go on, prof unaweza ukawa mbunge wa kuteuliwa na hata Naibu waziri basi na mjumbe wa cc wa ccm cuf inafutwa kwa tendwa
   
 13. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #13
  Oct 4, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,826
  Trophy Points: 280
  Umenivaa kwa hasira sana kama vile wewe ndo Kafumu na mimi ndo Kashindye,Hebu punguza jazba alafu endelea kushangaa kama ulivyosema bwana green guard.
   
 14. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #14
  Oct 4, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Mashiko kama kweli Lipumba angekuwa anania njema ya kutetea watanzania si mpaka Ikulu??? angeenda hata Igunga kusimama yeye kama yeye agombee kukaa bungeni..ila naona anaitaka ikulu tuuu ndiyo atuonyeshe kazi na uchumi....Hatumii masaburi kweli????
   
 15. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #15
  Oct 4, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280

  Maalimu Seif ya bara hayamhusu. We unaona ana interest na huku tena baada ya kupata kilichomliza miaka yote. Lakini ajue kuwa wazanzibari waliokufa kwenye mapambano huko zanzibar hawakuwa na lengo la yeye kuwa makamu na kutulia kama alivyotulia. Shame upon you!!!
   
 16. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #16
  Oct 4, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hata nyie mwaka 2015 huo mtaji utapungua.
   
Loading...