Ushauri kwa klabu yangu ya Yanga

logframe

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
4,240
5,533
Tafteni mechi moja ya fitness ili tarehe 25 tusipoteane.

Wenzetu Simba tangu tucheze wana mechi ya pili leo wakati sisi tumepumzika wiki nzima sasa tunaburudika na kuoga noti za GSM.
Mfikishieni ushauri huu kocha wetu mahiri Nabi.

Ni hayo kwa leo, zingatieni maana naona hatari ya kukata pumzi Mapema.
 
Una point ya msingi lakini Nadhani Yanga Ana game mbili mkononi za ligi Kama sijakosea Ila sijui zitakuwa lini
Naiona hatari ya ku relax.. Ni bora zichezwe kabla ya hiyo tar 25.
Alieenda kupakatwa SA nae alikosa game akawa na confidence ya maneno ndo safari yake ikaishia pale
 
Tarehe 14 July,2021 na Ihefu
Tarehe 18 July, 2021 na Dodoms Jiji
Tarehe 22, July na CAS
Terehe 25, July na Paka Fc, Tunatangaza ubingwa
Mechi zimesogezwa mbele kutokana na ombi la polosi Tanzania hivyo mechi ya 14 itachezwa tarehe 15 na bila shaka hata za tarehe 18 zitasogweza siku moja mbele.
 
He he he he tulia, tutawapa kimoja tena kitakuwa dakika 10 za mwanzo, na ni Beki wetu atawafunga mapema tu.
Akuna kitu wewe haunifungi tena malambili mfululizo.
Kwanza mzee Mpili wenu alienda kwa Haji akapewa m moja akaacha vitu vyote ndani,nguo nyeupe,nyuklia,watu wake vyote kaacha ndani kwa Haji.
 
Tafteni mechi moja ya fitness ili tarehe 25 tusipoteane..
Wenzetu Simba tangu tucheze wana mechi ya pili leo wakati sisi tumepumzika wiki nzima sasa tunaburudika na kuoga noti za GSM.
Mfikishieni ushauri huu kocha wetu mahiri Nabi.
Ni hayo kwa leo, zingatieni maana naona hatari ya kukata pumzi Mapema.
Mbona j5 Yanga vs Ihefu ligi kuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom