Ushauri kwa klabu yangu ya Yanga

Mechi zetu Kama ifuatavyo:
1. Tarehe 15.07.2021 vs Ihefu fc
2. Tarehe 18.07.2021 vs Dodoma jiji
3. Tarehe 22.07.2021 vs Morrison CAS
4. Tarehe 25.07.2025 vs Mikia fc kutegemea na mechi no.3 majibu yatakuwaje. Majibu yakiwa mabaya upande ule Mikia fc hawatakuwa na sifa ya kucheza fainali ASFC.
 
Tafteni mechi moja ya fitness ili tarehe 25 tusipoteane.

Wenzetu Simba tangu tucheze wana mechi ya pili leo wakati sisi tumepumzika wiki nzima sasa tunaburudika na kuoga noti za GSM.
Mfikishieni ushauri huu kocha wetu mahiri Nabi.

Ni hayo kwa leo, zingatieni maana naona hatari ya kukata pumzi Mapema.
Wazo zuri

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom