Tanzania nzima msanii anayeongoza kwa video na picha nzuri social network ni omydimpoz
Kwa kigezo gani kwamba Ommy Dimpomz ndio picha zake na video nzuri ???na anachukua na simu tu hana photographer wala nini kujitia gharama za bure tu
Anachukua na simu self au zile za jukwaani ana perfom .....maana zile za jukwaani ni lazima pawe na mtu anayezipiga si wewe unaye perfom, sasa niambie anafanyiwa bure ?? hebu nitajie photographer wa davido na wizkid ili twende sawa
Kwa maantiki hiyo basi wanaji photoa wenyewe .... Yaani mtu yuko na private jet kisha ampe mtu simu amwambie uwe unanipigia picha na hii simu si ndio .....na huyo mtu anafanya bure si ndio samsun maana pagan hana dini haha