Ushauri kwa Kamishna Mkuu wa TRA (Kiuongozi)

Ushauri kwa Kamishna Mkuu wa TRA (Kiuongozi)

Hapana !
Nazani ni zaidi ya inavyosemwa kama kishabiki vile!

Siyo kweli kuwa mzigo ni sawa ktk aspects zote,

Mfano mzigo waweza kuwa ni sawa kwamba ni 1. “Tiles labda from China, lakini tiles hizo mwingine kaleta za ubora tofauti,
Aloleta tiles materials ya Ceramic hawezi lipa kodi sawa na aloleta materials ya Spanish,
Na size pia kuna ndogo na kubwa,

Ni kweli zote zaweza kuwa tiles toka nchi moja mfano toka China n.k lakini ubora wa hizo tiles na size huwa ni tofauti,

Kwa hiyo tusidanganyike na kujaribu kupotosha watu.

2. Batteries
Huwa zinatofautiana ktk capacity zao, nchi zilikotoka n.k

3. Tv
Tv zipo za size mbali mbali na bei huwa ni tofauti, tv kubwa bei kubwa n.k

Kwa hiyo tuache siasa kwenye mambo ya msingi yenye maslahi ya umma
Kwahiyo bora estimation iwe kulingana na thamani
 
Pia

Pia aangalie kwa makini kitengo kinachohusika na utoaji wa leseni za udereva pananuka kama siyo kuna uozo wa rushwa mbaya sana

Mmnh?!
Hivi inakuwaje ukubali kutoa rushwa wakati wa kupata leseni ya udereva?

Sijakuelewa kabisa !

Yani uwe umetimiza vigezo vyote, uwe umeenda kwenye ofisi sahihi ukahudumiwa na maafisa halafu utoe rushwa?

Labda kama vigezo hukuwa navyo ukataka hisani napo mambo hayo sizani kama yapo!

Au umedakwa na vishoka?

Yani haingii akili kabisa hayo madai ya rushwa!
 
30. Fungua common email address, ambayo watu wenye malalamiko yao yaweze kukufikia moja kwa moja, maana wakati mwingine inakua taabu kukufikia, na uwe na deaturi ya kuipitia hiyo email au mpe mtu kazi awe anaingalia daily
Hili ni wazo la muhimu sana sana. Moja ya mambo yanayosababisha utendaji mbovu ni viongozi kujiona Miungu watu na kudharau kusikiliza maoni na malalamiko ya wananchi. Simu, Social media na Internet kwa ujumla imeenea kote nchini. Aweke 1. Hotline ya simu 2. Email 3. Social media acccounts na website za wananchi kuweza kuwasiliana na uongozi moja kwa moja. Malalamiko na ushauri wanaopkewa ufanyiwe kazi na watu watakaopewa hili jukumu waandike ripoti ya ni namna gani wameshughulikia malalamiko wanayopokea.
 
Kwa mfano kwenye mabasi.. kwanini wasiweke kodi kulingana na uchakavu na capacity kwa mabasi ya biashara..

Kinacho nishangaza hadi biashara ya mabasi eti kuna makadirio.
Kwahiyo bora estimation iwe kulingana na thamani
 
Tatizo hawa wakubwa huwa wanakua na uboss sana. Anaagiza hafuatilii..

Nilisikitika sana kwamba kichere na msaidizi wake walikua wamesahau jina la yule kijana ambaye ameuzuia mzigo kwa miaka 3.
Jamaa huyu ni Mcha Mungu, mwadilifu anapenda haki hawezi kumuonea mtu, najua ana hofu ya Mungu ila hapendi uovu tena kwa ukali kabisa hawezi kuhurumia anaonea wengine japo anapenda kufanya pasipo kusisimuka, wala hamaki. Naamini kutakuwa na badiliko wala hatachukiwa anapenda teamwork
 
apunguze wachaga ndio wanaichafua tra kwa ufisadi.

Siyo kweli hayo ni majungu tu!

Wakati wa Jk mjengoni wali raise hiyo ishu nasikia kamati iloundwa ikagundua ni mutu toka Mara ndiyo wengi!

Tuache majungu na husda tufanye kazi watz!
 
Bila kusahau

Kuonana na wafanya biashara mara kwa mara ili kujifunza namna wanavyo shirikiana na TRA kwa lengo la kutejeleza matakwa ya sheria ya kodi au kwa lengo la kutaka kukwepa kodi.
Kama anataka kufanikiwa, lazima abadili viongozi wote wa TRA kama sio wote kabisa. Ajifunze yaliyotokea bandarini.
Wale.waliokubuhu kwenye systems za TRA akiwategemea, watamzamisha kama Kichere
 
Jamaa huyu ni Mcha Mungu, mwadilifu anapenda haki hawezi kumuonea mtu, najua ana hofu ya Mungu ila hapendi uovu tena kwa ukali kabisa hawezi kuhurumia anaonea wengine japo anapenda kufanya pasipo kusisimuka, wala hamaki. Naamini kutakuwa na badiliko wala hatachukiwa anapenda teamwork
Tatizo sio hofu ya Mungu au ukali.. tatizo ni pale tutakapo kuta hakuna mabadiliko.

1. Makusanyo
2. Rushwa
3. Ustawi wa biashara etc


Hata awe mcha Mungu vipi kama hakuna mabadiliko atapelekwa Njombe kama kichere tuu.
 
Kama anataka kufanikiwa, lazima abadili viongozi wote wa TRA kama sio wote kabisa. Ajifunze yaliyotokea bandarini.
Wale.waliokubuhu kwenye systems za TRA akiwategemea, watamzamisha kama Kichere
Hii ni kweli nakumbuka nafasi za HOD and directors bandarini ziliwahi kutangazwa karibia zote.
 
Tatizo sio hofu ya Mungu au ukali.. tatizo ni pale tutakapo kuta hakuna mabadiliko.

1. Makusanyo
2. Rushwa
3. Ustawi wa biashara etc


Hata awe mcha Mungu vipi kama hakuna mabadiliko atapelekwa Njombe kama kichere tuu.

Mcha Mungu hatarushu Rushwa
Mcha Mungu hatamani kuraise makusanyo isivyo halali
Mcha Mungu atapenda kuona biashara ziki move ni professional yake pia, kama ulisikiliza ikulu anadeal na private sector development
 
Hii ni kweli nakumbuka nafasi za HOD and directors bandarini ziliwahi kutangazwa karibia zote.

Ndio salama.yake. TRA watu wana network zao za kula. Bila kuzipangua hizo, atapata tabu sana.

Halafu Mheshimiwa Rais akimaliza TRA, aende Tarura na Tanroads pia. Wanajipa kazi kama sio watumishi wa umma
 
Pia wamjibu muheshimiwa no 1 swali alilowauliza alipokutana na wafanyabiasha ra aliwauliza

"Hivi nyie TRA mmesoma kweli?"
 
Tatizo hawa wakubwa huwa wanakua na uboss sana. Anaagiza hafuatilii..

Nilisikitika sana kwamba kichere na msaidizi wake walikua wamesahau jina la yule kijana ambaye ameuzuia mzigo kwa miaka 3.


Wanapotea sasa maana serikali hii ukijifanya boss unatumbuliwa faster “ Magufuli mwenyewe hana ubosi halafu wao wateule ndio wajifanye Mabosi hawafatilii kazi zao wanatuma tu , They should be on top of everything
 
Binafsi nafikiri achape kazi tuone matokeo.. kama ni mcha Mungu basi tutaona matokeo. Bila matokeo hata alale anaomba ofisini atatumbuliwa tuu.
Mcha Mungu hatarushu Rushwa
Mcha Mungu hatamani kuraise makusanyo isivyo halali
Mcha Mungu atapenda kuona biashara ziki move ni professional yake pia, kama ulisikiliza ikulu anadeal na private sector development
 
Mcha Mungu hatarushu Rushwa
Mcha Mungu hatamani kuraise makusanyo isivyo halali
Mcha Mungu atapenda kuona biashara ziki move ni professional yake pia, kama ulisikiliza ikulu anadeal na private sector development
Hapo alipotoka ame ''private sector development'' kwa kiasi gani?? korosho hazijanunuliwa na private sector ipo..
 
Back
Top Bottom