Ushauri kwa Jirani: Mbowe must be disposed!

Tujadili Hoja wajameni. Matusi si uungwana.

Hiyo hoja akaitoe Lumumba ndiko kwenye 'majirani' zake wenye mawazo na matendo sawa na ya kwake.

Samahani mkuu huku kwetu Arusha tuna ujasiri wa kusema ya moyoni
 
Chadema kama imeporomoka ingeweza kukamata jiji kuu la nchi? Maneno hayo hata mwenyekiti wenu hawezi kusema. Ona mpaka leo miezi kadhaa jiji halina Meya kwa ajili ya woga na kujipanga kuchakachua kama walivyo chakachua uchaguzi mkuu.

Binti sasa hivi wamekupa hivyo viti maalum basi onyesha uwezo wako huko, kama ni kutoa hoja mpaka wananchi wakakukubali.

Wewe hivi waweza kujilinganisha na mwanasiasa gani mahiri? Ushakuwa Mbunge habari za kupambana na kina Mbowe usituletee JF, msubiri atoe hoja mbovu Bungeni kisha ui challange tuone umahiri wako.

Unashindwa kuelewa kuwa CCM imejifia sasa hivi ila kuna chama kinaitwa MAGUFULI? Hata yeye alishasema kuwa hii ni serikali yake ila imebaki kuitwa ya CCM kinadharia kukidhi matakwa ya kikatiba tuu.

Kama hiyo Nitoke vipi unadhani itakutokea hapa JF badala ya huko Bungeni umepotea binti, hapa utaungwa mkono sana na wale watu 46 walioombewa msaada wa kujikimu kwa JPM bila mafanikio.
 
CHADEMA ilikuwa na thamani chini ya katibu Mkuu Dr Slaa. CHADEMA ya sasa ni pango la majizi na mafisadi
Hao hawanunuliki eeee,ungejua dhamani ya CHADEMA msingekuwa wezi wa kura. Tokea lini unajua umuhimu wa CHADEMA?Acha unafki jenga Chama chako maana huna lolote ndani ya chadema wala huwapangia lolote
 
CHADEMA ilikuwa na thamani chini ya katibu Mkuu Dr Slaa. CHADEMA ya sasa ni pango la majizi na mafisadi
Hao hawanunuliki eeee,ungejua dhamani ya CHADEMA msingekuwa wezi wa kura. Tokea lini unajua umuhimu wa CHADEMA?Acha unafki jenga Chama chako maana huna lolote ndani ya chadema wala huwapangia lolote
 
Lowassa kashindwa kwa aibu??Juliana bhana!!!apo ndo nnapokuanaga wa ajabu!!!ni kama alipata kura laki tano ivi...basi unajikuta genius hatare,,,nachukia hii tabia yako sana,,wewe unapenda kumshambulia mbowe mno na chadema ,,,sasa ukishambuliwa wewe personally unakuja kuandika viuzi uzi vya kutia huruma!!
 
Halafu dada Juliana,unavosema chadema imeacha kutetea wanyonge,,ni kina nani wanawakandamiza wanyonge??je,,ni act??ni chama gani haswa??kama ni ccm,ni kwanini usianze na wanaowakandamiza wanyonge(ccm) ndio uwashutumu waliocha kuwatetea hao wanyonge(chadema)??!
 
Hapana mzee wangu nimetimiza umr wa kura 2003 Mimi lakini sioni kama mfano wako uko sahihi!!! Grow ya CDM ni exponential ever since it was created
Wakati graph ya Mrema since 1995 on wards was a downfall
Unajuwa kitu kinaitwa life cycle?...tamaa imefupisha maisha ya chadema,CCM wamewachezea shere chadema...kwa sasa wanamkakati,wasemaji na waamuzi wakuu ni chademaccm..hii itahitaji uwe na uzoefu na macho makali,Mrema alikuwaa mkali ungekuwepo usingeamini kama ndiye huyu wa leo!....utachukuwa miaka zaidi ya miaka 10 kujua kama hutojishughulisha...kwasasa kila mechi muhimu ccm watashinda bila presha!
 
Umesahahu nini Juliana? Nenda mama fika salama tulia huko ulichopata umepata, ila umeenda mji wa wanyonge umepokonya haki ya mwanamke mnyonge wa mji ule alie kilea chama na kukijenga siku zote alizo ishi hapo, kwa nini hukugombea Dar? wewe si born town? unaejua kila jambo? Jiangalie kwanza kabla hujaangalia wenzako hupendi uongozi mbona umeugombea na umeupata?
 
pamoja na kuibiwa mtu kapata kura zaidi ya million sita mnasema kashindwa kwa aibu???

watu wengine mnamatatizo sana na maigizo wafanyayo viongozi wa ccm yanawatia upofu..


huyo magufuli kafanya kipya kipi mpaka awe mfano wa kuigwa dunia nzima,,zaidi ya kufanya maamuzi ya kukurupuka nakutafuta sifa..
 
Hahaha
Wacha nijichekee mie
Kila siku tunasema
Chama hiki hakina watu waliopo kwenye kazi kweli kweli

Kutegemea maamuzi ya MBOWE pekee bila kutathmini kile anacho kiamua
Nikupiteza muda

Chama kisicho tambua Mahakama
Chama kisicho kuwa na ushauri wowote
Chama kinacho tegemea vijana wanywa Viroba
Wacha tuone hahahaha
 
Hujasema kitu! Unalalamika tu!

CDM kwa sasa mtabaki na hoja ya kulalama tu! Msingi wa hoja zenu ilikuwa ni UFISADI; mmeukumbatia!

POLENI
 
Sasa kama Chadema inakufa si ndiyo full shangwe hapo Lumumba? Jamani uchaguziumekwisha sasa ni wakati wa kufanya kazi, fanyeni yenu na sisi tuacheni tufanye yetu.
Amemaliza kusema nawe una rudi kulekule
 


sasa si muendelee na vyama vyenu vilivyo bora....hahahahahah....yaani CCM na Atc
 
Wafuga fisi hao katu hawatokuelewa,
 
Hii kitu inaitwa Edo haijitambui kabisa. 2020 inataka isimame tena. Anaijua CHADEMA yetu?

Mbowe tamaa nyingi sana. Anahitaji aondoke mapema chama kiende mbele. Shida hana wa kushika nafasi ile kwa sasa. Maana waliokuwa na akili alionahatari kwa cheo chake, akawafukuza.

2015, naona ndo mwaka wa mwisho CHADEMA kung'ala.

Imefika mwishoni, tunataka kijiwe kingine kiibuke.
 
hawa jamaa wana matatizo makubwa sana

Ndio maana kesho akija rais mwingine yanaanza kujifanya utawala uliopita sio wa kwao

Yameiba hadi Twiga haya majitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…