Ushauri kwa IGP Sirro

Wa kumshauri ni Sizonje na serikali yake waache kuminya demokrasia ikiwa ni pamoja na kuua wapinzani. Watanzania wamechoshwa na utawala wake.
 
Bila akishatoa hicho Kibali na akifukuzwa Kazi utakuwa unamkaribisha hapo Kwako kunywa nae Chai, chakula cha mchana na cha usiku pia Yeye pamoja na Familia yake nzima Mkuu.
Dab is Watching
 
Vipi kuhusy mauaji yanayoendelea na watawala kujifanya hawajali
 
Hivi unadhani sirro anazuia Kitu? He is programmed
 
Kamanda Sirro leo kapata somo zuri sana watangulizi,natumai atatoa muongozo mzuri kufanikisha maandamano ya amani 26042018.
 
Kama kelele zimezidi kuna haja ya kutafakari na kuchukua maamuzi sahihi yenye maslahi kwa wote!

Hizi ni baadhi ya busara zinazokosekana kwa sasa hapa nchini ndio maana tunaona mikwaruzano isiyo na tija. Halafu tunaishia kuleteana propaganda kwamba wazungu ndio wanatuchonganisha, unabaki unajiuliza ni wazungu gani, maana wazungu hao hao wanaendesha miradi mingi hapa nchini, wanatoa misaada kwa nchi yetu nk.
 
Wa kumshauri ni Sizonje na serikali yake waache kuminya demokrasia ikiwa ni pamoja na kuua wapinzani. Watanzania wamechoshwa na utawala wake.
Kila mmoja anashauriwa kwenye nafasi yake husika!
 
We leta ukabila lakini 26 mnakomeshwa wote wahuni wahuni na wakabila
Ndio utakapojua kwa nini bendera ya Taifa ikiwa inapandishwa na kushushwa jioni Watu husimama dede. Bladifuluuuuuu!
 
Ndio utakapojua kwa nini bendera ya Taifa ikiwa inapandishwa na kushushwa jioni Watu husimama dede. Bladifuluuuuuu!
We ni ID fake upo hapa juzi juzi tu cuz umeletwa kwaajili ya kuimba na kusifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…