Ushauri kwa huyu rafiki yangu

Ushauri kwa huyu rafiki yangu

Ushauri wangu umekaa kishetani shetani kwenye hili swala, anyway siwezi kuusema hapa, nitakuja kukudokezea ofisini.

Cc: Venance Mabeyo
 
Huyo dada kaolewa na mumewe amesafiri Simu imezimwa(amefahamu vipi Kama imezima?)

1.Huyo dada hafahamiani na ndugu wa upande wa mume wake?

2.amewauliza kuhusi mume wake?amepewa majibu gani?

3.kafanya jitihada gani za kufahamu mumewe Yuko wapi na Hali gani?

Akikupa majibu ya hayo maswali bhas aangalie upande wa pili wa huyo lecturer

Pia inaonesha Hana shida kufahamu Nini,wapi mume wake alipo na amechoka kuvumilia ufukara pamoja na uvivu wa mumewe anachotaka ni mtu mwingine mwenye uwezo wa kumpatia mahitaji Kama mke.

(Kile kiapo Cha kuvumiliana kwenye shida na raha amesahau?)
 
Long story short money buys happiness.

Vijana tutafute hela
 
Hata kama utakubali kuolewa na huyo mboga saba, still bdo msela wako ana deni kwako ambalo ni watoto wake..

My take..
Huyo mboga saba kakutamani tu kuwa na uvumilivu, mvumilie msela atakutafta na maisha yataenda vizuri tu, usifanye maamuzi ya haraka maana faraja ya moyo wako sio pesa ni mapenzi ya dhati.
 
Kila jambo lina uzuri na ubaya wake. Dada yangu aliachana na aliyekuwa mume wake kwa sababu hakuwa na kazi wala kipato cha kueleweka kwa nyakati zile. Baada ya hapo aliolewa na mzee mmoja ana hela zake, mwaka mmoja wa ndoa alirudi nyumbani huku akilia machozi ya kwikwi.

Kwa maelezo yake ni kwamba yule mzee ni katili hajapata kuona, anachokithamini yeye ni pesa zake zaidi kuliko utu, ana watoto KUMI NA SABA aliozaa kupitia wanawake tofauti tofauti na anaweza asilale nyumbani hata wiki mbili yupo lodge na wanawake tofauti tofauti.

Mungu alivyo si Athumani , yule aliyekuwa mume wake wa kwanza amehangaika amejituma na sasa biashara zake zinazidi kusimama imara si haba ameshajenga na ana usafiri wake mambo yanaenda.

Dada yangu anatamani kurudi kule kwa aliyekuwa mumewe wa kwanza lakini anashindwa kwani ameshaoa mwanamke mwingine.

Maisha ni mapambano, yafaa kujituma katika kutafuta maendeleo sio kutafuta mteremko tu.

Yupo dada mmoja kapost humu ana mwanaume mwenye hela hadi kampa usafiri (gari) lakini akifanya naye mapenzi hapati msisimko wowote ni kama anabakwa tu.

Maisha ni mbio ndefu (Marathon) sio mbio fupi (sprint)
 
Habar zenu wanajamiiforum..hope ni wazima mnaendelea vzr na majukum ya kitaifa..

Ndugu zangu ushauri wenu unahitajika kwa huyu rafiki yangu..Ni graduate ambae ni jobless bado ..lakini alibahatika kuolewa na jamaa mmoja ambae pia ni graduate wa muda kidogo...wameishi kwa miaka 3 ya ndoa lakini huyu jamaa kiuchumi hayuko fresh pia ni mvivu sana wa kazi...hapo nyuma bidada ndo alikuwa anaprovide mahitaji ya home lakini nae kwasasa hali yake si shwari hana kazi...

Katika miaka mitatu walioishi juzijuzi huyu dada akahisi ni mjamzito na kupima ikaonesha kweli ni mjamzito kibaya alivomwambia jamaa kuwa ni mjamzito jamaa akakubali ila ilivopita wiki uyu jamaa akasafiri akafunga na simu hapatikani mwezi mzima mpk sasa... Dada wawatu yakamshinda akaamua arudi kwao tu maana hamna matumiz wala chochote kitu....

Baada ya kurud kwao kuna mtu alikua anamfukuzia huyu dada kabla hata hajaolewa sasa baada ya kupata taarifa kuwa bidada yupo kwao akaamua kumtafuta na kuongea nae..huyo mtu yupo vizuri kiuchumi ni mhadhiri wa chuo pia ana shule yake pamoja na miradi yake mingine...kamfata bidada na kumwambia yeye yupo tayar kukaa nae hata kama ni mjamzito na pia hata familia yake ataisaidia endapo watakua pamoja..

bidada hajajua cha kufanya mpk now je, amkumbali uyo jamaa wakaishi pamoja au aendelee kukaa kwao akimsubir jamaa ambae kampa mimba..pia ana hofu ya kumhisi uyu jamaa kama ana mke na watoto ...lakini pia hali ya familia yake si nzuri kiuchumi kiasi kwamba baadhi ya mahitaji ni ngum kupatikana...Na jamaa anataka kama binti atakubali basi wakaishi pamoja....Je, uyu bidada afanyeje?..tumpe ushauri utaomfaa ...

Asanteni...

N:B usikurupuke kuoa au kuolewa.
Amkubali Boss maisha yabadilike
 
Mwenye sikio na asikie..
Hili ndilo neno la siku na wafuasi tuseme Amina
 
Pole sana. Huu uzi ni kama unakuhusu ww mwenyewe ndg yangu. Cha kufanya hapo ni bora kutoa machozi ukiwa ndani ya Prado kuliko kutoa machozi ukiwa juu ya mkokoteni. Maisha yenyewe mafupi haya mpe lecturer tunda ajilie na ww upate amani ya maisha
 
[/QUOT
Kujua wanachotaka hawa dada zetu ni ngumu sanaaaaa..... anyway kuweni na misimamo na punguzenu tamaa.
 
Kujua hawa dada zetu wanachotaka hasaaa ni ngumu sanaaaaa......daaahh anyway kuweni msimamo na mpunguze tamaaa
 
Pole sana. Huu uzi ni kama unakuhusu ww mwenyewe ndg yangu. Cha kufanya hapo ni bora kutoa machozi ukiwa ndani ya Prado kuliko kutoa machozi ukiwa juu ya mkokoteni. Maisha yenyewe mafupi haya mpe lecturer tunda ajilie na ww upate amani ya maisha
 
Nilichoelewa ni kuwa huyo dada ni malaya wa rejareja, anaishi kwa kugawa uke na kwa sasa ni mjamzito.

Kwa sababu, kama ni msichana anayejitambua, jawabu lingekuwa ni rahisi sana. Kwa sasa angetulia, alee mimba na ajifungue. Baada ya hapo, afungue milango kuchumbiwa na mtu anayempenda. Sio kufanya janja janja ya kubahatisha wanaume.
 
Ushauri wangu umekaa kishetani shetani kwenye hili swala, anyway siwezi kuusema hapa, nitakuja kukudokezea ofisini.

Cc: Venance Mabeyo
Yaani mkuu wewe ni kama mimi kabisa, utadhani tulikaa tukashauriana. Yaani huu ushauri wetu haufai kabisa kumpa huyu mdada japokua naona kama ungemsaidia sana na ungekua umetatua hili tatizo kwa kiasi kikubwa hata huko baadae asingepata shida kama ambayo atakuja kupata.
 
Wengi tuna ushauri kama huo, ila kuutamka kwa sauti siyo zoezi dogo Mkuu.

Atakuwa ameelewa hata hivyo.
 
1. Wanaondoa kabisa (yenye vyeti, n.k)na hiyo mumewe?
2. Anaingia kwenye kutokana na mapenzi au kwa sababu za kiuchumi?
Kama anaingia kwenye ndoa kwa sababu za kiuchumi aikwapue fursa ya mhadhiri kwa spidi ya mwewe.
Kama ndoa ina legal status waanze mchakato wa kisheria wa kuivunja.
Tunaishi mara moja. Ni bora kuishi kwa furaha na ukamilifu hiyo mara moja.
 
Kwanza achana kabisa na mahusiano ya pili kwa sasa yaani hayaondoe kabisa akili.Wanaume tuna ujinga flani hivi asikulupuke...

Hivi aliolewa kweli au aljioa au ilikuwa cohabitation????Kwahiyo huyu zezeta aliyeoa na nakuzima simu nakutokomea Hana madada, hana mama hana mama yaani hana ndugu ambao huyu mwanamke anaweza kwenda na kureport upuuzi wa kijana wao!!!!!Hivi aliolewa kweli kwa ndoa ya msikitini/kanisani au boman.Nauliza tena hapa.

Ilo zezeta lililomuoa lazima kwanza amalizane nalo...

Nimeshajua jamaa kimeo kitu ambacho sijajua ni huyo dada ni kimeo kwa kiasi gani..Amepewa mimba? Anataka kumkubalia mtu akiwa na mimba yake!!huyu dada tuseme yupo frustrated maamuzi atakayofanya yatamfanya aborongoe tu...Alee mimba ajifungue kwanza..

Mwisho kbs tuambiwe na nadhaifu ya huyu dada maana mwanaume kukimbia mke wa ndoa ambaye hana hata mtoto si jambo la kawaida
 
Back
Top Bottom