mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,944
- 43,358
Yaani kuna post unasoma unahisi kama vile sinema za bongo nini sijui!! Kwa mwanaume mkamilifu, msomi tena kapitia hadi mafunzo ya jeshi. Zero aiseee, ni uboya wa kupindukia. Half kesho atakuja kuomba ushauri mkwe anatiwatiwa nje ya ndoa yake huyuhuyuKUNA kila chembe za ukweli