BEST ONE BOY
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 309
- 221
- Thread starter
- #21
Haijavunjwa KISHERIA Mkuu wamegombana tuu yeye mwanamke anadai kuwa mwanaume hampi care kama mke wakeHongera kwa kupata anko! So ndoa ilivunjwa rasmi kisheria au?
Haijavunjwa KISHERIA Mkuu wamegombana tuu yeye mwanamke anadai kuwa mwanaume hampi care kama mke wakeHongera kwa kupata anko! So ndoa ilivunjwa rasmi kisheria au?
Mmmm...nao ni ushauri nashukuruMsamehe, maana inaonyesha dhahiri unampenda bado.
ILA walifunga ndoa ya kiislamuHongera kwa kupata anko! So ndoa ilivunjwa rasmi kisheria au?
Hongera sana kwakeNDIO Mkuu Ana mtoto wa kike mdogo
Sasa kama haijavunjwa kisheria bado ni mke Wa mtu ! Unataka uoe mke Wa MTU acha ujinga tafuta wako angekupenda angekusubiria over acha kuchezea wakatiHaijavunjwa KISHERIA Mkuu wamegombana tuu yeye mwanamke anadai kuwa mwanaume hampi care kama mke wake
Nashukuru Mkuu las ushauri wako katichiSasa kama haijavunjwa kisheria bado ni mke Wa mtu ! Unataka uoe mke Wa MTU acha ujinga tafuta wako angekupenda angekusubiria over acha kuchezea wakati
Fanya kitu kimoja wewe muite mkae sehemu muongee, kisha mchane live kuwa humtaki.Mkuu fake p:sijakuelewa lengo la swali lako
Fanya kitu kimoja wewe muite mkae sehemu muongee, kisha mchane live kuwa humtaki.
nimekusoma mkuuMkuu nipo hapa kuomba ushauri mkuuYaan maelezo yako yanaonyesha unamuitaji sasa mapenz hawashauriani kaka akili kichwani mwako.
Mkuu kuomba ushauri nao kosa au kuwa chuo ndio kila kitu unajuaHuko chuo umasomea ujinga aisee
Watu kama hao me ndokiboko yao unamkataa kiume Bila kupepesa macho...me kuna mwingne alimtuma hadi mam yke nikakaza..ila kama unampenda kamatia goma kabla hatujakukatisha tamaa na mawazo yetuHisia kwake sina kabisa ila yeye kanigandaa
Nimekuelewa mkuuSidhani kama kuna haja ya kushauriwa kwenye hilo jambo maana kila kitu kipo wazi. Huyo ni mke wa mtu tena kama kuna uwezekano wa kukata mawasiliano nae fanya hivo. Mke wa mtu hatar sana.
SawaWatu kama hao me ndokiboko yao unamkataa kiume Bila kupepesa macho...me kuna mwingne alimtuma hadi mam yke nikakaza..ila kama unampenda kamatia goma kabla hatujakukatisha tamaa na mawazo yetu
Pamoja mkuuFANYA MAAMUZI SAHIHI KWA WAKATI SAHIHI....HUYO DEMU HAKUFAI,,, MWAMBIE ARUDI KWA JAMAA YAKE HUKOHUKO ALIYATAKA MWENYEWE