lontor
JF-Expert Member
- Apr 5, 2017
- 311
- 1,762
Katika jambo ambalo mtoa mada umeonesha ukomavu ni kumsaidia alipopatwa na shida ya kifedha aidha kwa sababu ya mapenzi ya dhati uliyokuwa nayo kwake ama nyinginezo,
ila suala la kurudiana nae linahitaji uamuzi wa dhati kutoka moyoni si ati anakuganda, jiulize je bado unampenda kama mwanzo? Je uko tayari kuishi naye? kumbuka kisheria bado ni mke wa mtu, kutomjali kama unavyo eleza hakuondoi uhalali wa kuwa mume wake, na inaonekana angekuwa anamjali asingekuwa anakuganda. (Akili za kuambiwa changanya na zako - in JK voice)