pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,710
- 6,372
Tunafanya naye kazi pamoja sasa wiki iliyopita yaani Jumatatu ya hiyo wiki, alinialika lunch kwenye hoteli ambayo ndiyo huwa tunakula lunch hapo.
Wiki nzima ananialika tukishakula nikitaka kulipa ananiambia usijali nimeshalipa, ilipofika Jumamosi wakati tumemaliza nikamwambia na mimi acha nilipe leo akagoma tukaondoka kurudi kazini.
Baada ya kazi akanambia tuonane hapo hapo kwenye compound akanieleza kwamba ana mpenzi wake ambaye huwa analipa bill kila mwisho wa mwezi hivyo nisijali na anapenda tuwe tunakula wote make ndo ana enjoy.
Nikamwambia sawa lakini mimi sitakula tena na atafute msichana mwenzake wawe wanakula pamoja sababu ni aibu mwanamme kula jasho la mwenzie.
Sasa tangu Jumatatu ya juzi binti kanuna lunch hali nikitaka kwenda kula ananiambia nikienda mwenyewe nitaona nikimwalika twende lunch ananiambia twende kule kule.Sasa hivi nashinda tu na njaa na yeye anashinda
Ushauri jinsi ya kumfanya aondokane na hili tatizo.