Ushauri kwa huyu binti

Ushauri kwa huyu binti

Na mimi nilikuwa na misimamo kama ya kwenu...:smile-big:
 
Kwa mtazamo wangu naona huyo dada anakutaka sema tu anashindwa kukwambia, na wewe siku nyingine sio mpaka utamkiwe unapendwa but uwe unaangalia hata matendo.

Huyo anayelipia bili naona huyo manzi hana mpango nae sema tu huenda anajishkiza ili mshikaji aendelee kuhudumia.Ushauri wangu we demu nenda nae hapo sehemu ya kula ila uwe ukilipa bili yako mwenyewe. Kula jasho la mwanaume mwenzio sio mpango kabisa.
 
rafiki huli jasho la mwenzio unaenda kula chakula, usijifanye upendi mteremko, nenda kale na akikwambili ule tena mle pia....vinginevyo utadharauliwa...

Maneno mazito siamini kama ni wew
 
anakupenda huyo sema anashindwa kukuambia.......

pili ili usiendelee kukaa na njaa.....muwe mnaenda wote ila nawe jaribu kumnunulia hata maji basi........au ndiyo kila kitu kimelipiwa......
 
anakupenda huyo sema anashindwa kukuambia.......

pili ili usiendelee kukaa na njaa.....muwe mnaenda wote ila nawe jaribu kumnunulia hata maji basi........au ndiyo kila kitu kimelipiwa......
kula kwa bill ya mwanaume mwenzangu hilo haliwezekani.
na kama ni kunipenda kama unavyoona nadhani sio sahihi sababu ana mtu wake tayari sister
 
Last edited by a moderator:
kula kwa bill ya mwanaume mwenzangu hilo haliwezekani.
na kama ni kunipenda kama unavyoona nadhani sio sahihi sababu ana mtu wake tayari sister

sasa kuwa mwanaume .....acha kupelekeshwa ....fanya kile ambacho unaona ni sahihi....
 
Kweli ukistaajabu ya Musa haujayaona ya PAKAYAwek . Yaani jamaa anajitahidi kufunga kwa ajili binti kasusa kula ilihali ikifika kipindi cha mfungo wenyewe kwa ajili ya kutubu dhambi zetu kufunga hawezi

Haswaa!!! Tena hawakawii kusingizia wana vidonda vya tumbo
 
Last edited by a moderator:
status yako inaonesha kweli unampenda huyo girl, sasa kale cha mwanaume mwenzio na wewe usubir kuliwa
 
soma alama za nyakati huyo dada anakupenda kuliko mpenzi aliye naye cha msingi we mtongoze hiyo ndo dawa na suluhisho lako
tatizoakimtongoza tu atakua anaweka yeye bill af ataenda lunch na mwengne
 
status yako inaonesha kweli unampenda huyo girl, sasa kale cha mwanaume mwenzio na wewe usubir kuliwa

ningekua nampenda ningemalizana naye kimya kimya mimi nimeomba ushauri jinsi ya kumuweka sawa bila kunichukia make sasa hivi hata salam hakuna tena tunapitana kama hatujuani.
 
Back
Top Bottom