Halima kwa sasa sio mwanachama wa CHADEMA. Alishafukuzwa yeye na wale wenzie 18 ambao wanatengeneza kile kinachitwa covid 19.
Anachopaswa kufanya ni kuomba radhi na aombe tena uanavhama upya. Anaweza akakubaliwa au kukataliwa. Kwa alivuo sasa na misimamo ya mwenyekiti, ushauri wako hauna maana.