Ushauri kwa Dr. Steven Ulimboka

y Elungata Kwani kuna jipya la kusikia kutoka kwa uli?si alitekwa,akateswa na kutupwa pande na mtu anaedai anaitwa rama wa ikulu,KUNA JIPYA GANI TENA?
Au wakati wanamteka walikua wanamhadithia na life history zao na za family zao?.
Yaani jinsi watu wanavyospin hii issue utadhani ni bonge la issue.

SIKUDHANI KAMA KUNA BINADAMU WANAOFIKIRI KAMA WEWE- POLE SANA- NGOJA NIKAPATE BREAKFAST WAKATI NATAFAKARI MANANENO YAKO.
 
Back
Top Bottom