Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,046
- 7,118
Kosa kubwa analolifanya diamond nikutengeneza maadui
invest what you are willing to lose
invest what you are willing to lose
Mkuu umeshauri vzr sana lkn naona bado kutakua na tatizo ktk huo wimbo wa tarehe moja,kwanini nasema ivyo ni hivi dai ametoa nyimbo mbili zikipishana kwa kipindi kifupi sana ya kwanza ni fire ameitoa nadhani mpaka wakati huu una kama miezi miwili,akatoa tena eneka mpaka mda huu una kama mwezi na siku kidogo,jana wakatoa wimbo wa pamoja wa wasafii,mpaka tarehe moja utakua na siku takribani sita na tarehe hiyo moja anataka kutoa wimbo mwingine,Yaaani huoo ndio ukwelii, jamaa mi kanikera sanaa
Haikua na sababu yeyote ya kutoa hiyo ngoma mdaa huuu angali terehe 1,anataka aachie ngoma na patorank
Mimi kma shabiki wa Diamond, nasema izo stress sake asituletee mashabiki ,maana mpka sasaa atuelewi ipi tuipe msukumo, yaa ZILIPENDWAA au Hiyo ya tarehe 1.
Umeewapa wapinzani nguvu, na promo ya kutoshaa bilaa sababuu
Huh ulilfnyaa ni ujingaa.
Kati ya wana jf wenye akili ndogo nahis ww ndo namba moja, yani sizani kama uwezo aa akili yako unafika ata 1kb.We ndo mwendawazimu kabisa ambacho huelewi nn nan asojua kama boss wenu huyo malkia mswahili wa kutupa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mimi mhenga, Enzi za mimi ni msanii kioo cha jamii.Aisee... Kumbe mie "mhenga" dah!!
My number one na ile remix BA Davido ndio zilikuwa nyimbo za mwisho kumkubali Diamond,but now anaimba Mipasho tuu.Diamond anatakiwa aanze kutumia akili sana kulikwepa hili beef laaivyo litamshusha na lishaanza kumugharim maana yule diamond wa my number one simuoni tena, tokea kiba arudi mond kawa kama kapanic iv. Inatakiwa atulize akili sana na itumike hasahasa la sivyo atapotea
Sent using Jamii Forums mobile app
UmeelewekaIdeally Wimbo wa Diamond umekaa ki zamani na video imekaa ki childish kabisa, is like comedians.
Simple Fact:- Unaweza vaa Nguo za zamani lakini uka look Classic, badala ya kua kama mwendawazimu. Their afro is uggly. Ni Nani aliewaroga?.
To make the story short.
Wimbo wa Kiba, ni mzuri na SAUTI YAKE IMEBOREKA SANA IMEKOMAA SIO YA KITOTO KAMA huko nyuma. Now amekua the real musician.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watz wabayaSallam hana akili, lengo la kutoa zilipendwa walitaka wafikishe viewers million moja kabla seduce me haijafikisha. Ili wajitape mitandaoni. Ila sasa wameaibika. Seduce me imegonga 1M kabla yao. WBC huko walipo lazima confo limeshuka sana.
Hahahahaha! Hatariii mkuu,na tofauti ya views kati ya seduceme na zilipendwa inazidi kwa kasi,tofauti ishafika kwenye laki 7 kuelea laki 8 soon gape litafika million. Walichokitarajia sicho,au wale follower wao wa insta gram ndo waliwapa kichwa? Maana diamond pekee ana 3.9 Million followers! Watakuwa wamemsaliti nahisi.Huu mchezo hauhitaji hasira.Pamoja na Boost ya P Square
Salome 48 hrs 1 M views
Zilipendwa 931,768 views 46 hrs
Anaweza kuvunja rekodi yake mwenyewe
King Kiba 38 hrs 1 million
Hahahahaha!Watz wabaya
Wamemnyoodha mtoto wa watu
Wakati ali ana 1.9 sasa domo ndio kwanza yupo 1.2
Sasa hivi ali anaweka rekodi mpya...ya 2 m in 3 days
hii ni mbaya sana kuwahi kutokea.Watz wabaya
Wamemnyoodha mtoto wa watu
Wakati ali ana 1.9 sasa domo ndio kwanza yupo 1.2
Sasa hivi ali anaweka rekodi mpya...ya 2 m in 3 days
nasikia mnabadilisha device kama hamna akili utafikiri mnabet....kazazneni but ni swala la mdahii ni mbaya sana kuwahi kutokea.
Kipusa 1.98+,ni leo usiku tu anavuka milioni 2.
Unajua hichi kitu hata mm kinanishangaza, Rekodi yao inakuwa ya kuforce sana wanasahau Mond kwenye Salome aliweka rekodi automatically bila watu kujilazimisha. Yaan nimeona promo anazopiga Mange na teamkiba kwa ujumla utadhan vichaa. I don't think if Music needs such kind of childishnasikia mnabadilisha device kama hamna akili utafikiri mnabet....kazazneni but ni swala la mda
Ivii wewee unakiilii kwelii wewee? Au umerogwaaaa ?Ebuu usiwe mvivu wa kufikirii
ndo waimba kaswida
siku izi huruma zitakapokata ndo tutajua kama kweli kiba ni king lakini kama kila akitoa wimbo kutakuwa na izi kampeni sioni msanii pale......sema wana jihad natural yaani sizan kama wanakumbuka ata kula.Unajua hichi kitu hata mm kinanishangaza, Rekodi yao inakuwa ya kuforce sana wanasahau Mond kwenye Salome aliweka rekodi automatically bila watu kujilazimisha. Yaan nimeona promo anazopiga Mange na teamkiba kwa ujumla utadhan vichaa. I don't think if Music needs such kind of childish
Note: MUSIC =UNIVERSAL LANGUAGE.