Ushauri kwa Diamond kama shabiki beef halikusaidii tumia akili kulikwepa

Yaaani huoo ndio ukwelii, jamaa mi kanikera sanaa
Haikua na sababu yeyote ya kutoa hiyo ngoma mdaa huuu angali terehe 1,anataka aachie ngoma na patorank
Mimi kma shabiki wa Diamond, nasema izo stress sake asituletee mashabiki ,maana mpka sasaa atuelewi ipi tuipe msukumo, yaa ZILIPENDWAA au Hiyo ya tarehe 1.
Umeewapa wapinzani nguvu, na promo ya kutoshaa bilaa sababuu
Huh ulilfnyaa ni ujingaa.
Mkuu umeshauri vzr sana lkn naona bado kutakua na tatizo ktk huo wimbo wa tarehe moja,kwanini nasema ivyo ni hivi dai ametoa nyimbo mbili zikipishana kwa kipindi kifupi sana ya kwanza ni fire ameitoa nadhani mpaka wakati huu una kama miezi miwili,akatoa tena eneka mpaka mda huu una kama mwezi na siku kidogo,jana wakatoa wimbo wa pamoja wa wasafii,mpaka tarehe moja utakua na siku takribani sita na tarehe hiyo moja anataka kutoa wimbo mwingine,
BINAFSI YANGU,sijaona tatizo ktk nyimbo alizotoa zote ni nzuriii na hit song,tatizo nilionalo ni yeye mwenyewe dai anatakiwa ajitazame nini anakosea kwa wakati huu,naisi kuna tatizo lililobinafsi kwake binafsi ajitasimini
USHAURI WANGU KWAKE
Simshauri atoe wimbo kwa wakati huu kabla ajashughulikia matatizo yake binafsi na kuwafanya watu wasiwe na hile hali ya kughadhabika juu yakee,kwanini nasema ivi sababu sijaona tatizo ktk nyimbo alizotoa dai kwa wakati huu, nyimbo zote ni nzuriii na zinawashabiki wakutosha,swala la mwingine kufanya vzr ata km itakua zaidi yake ilo ni suala la wakati kila mwanadamu ana wakati wa kufanya vyema yeye alichukulie km changamoto na sio uwe kama ugomvi wa kumfanya akatoe wimbo ili aufunike uliopo kwenye chatii,mwisho kabisa diamond ni msanii mzurii na mbunifu,watanzania wanampenda na kufurahia uwepo wake lkn sio km watawachukia wengine sababu wanampenda yeye la asha watz sisi tunapenda kila msanii afanye vyema na ndio maana ata mshabiki wa kiba au diamond kwenye store yake,uwezi kosa nyimbo za wasanii wengine
NAKUOMBEA UWE NA WAKATI NZURI WA KUFANYA VYEMA ILI MTUBURUDISHE
NAPENDA KUKUFAHAMISHA KWAMBA MIMI BINAFSI ni nampenda sana ali kuliko wewe lkn sio km nakuchukia napenda unachofanya na nafurahia nyimbo zako ni nzurii,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HELLO DIAMOND,

NAKUSHAURI UTOE NYIMBO NYINGINE HIVI KARIBUNI,

U DIVERT ATTENTION to your LANE immediately
 
Ooh kumbee haya kawasikia bichwa kubwa ubongo wa mende kiki za bure wcb hakuna, simba ni simba na ukiona zinduna ambari iko nyuma itaneni kijiji kizima mlogeni ashuke naona visanii vya zamani mnaitana whatsap kujadili kumshusha na kumpoteza mondi habari tunazo sikuzote asio wanafiki ana Mungu mlifua na kushuka kivyenu mwana wa bisandra kawakosea nini itanenii kijiji chote lakini WCB ni taasisi kama vile israel ilivyo ngangari vigagula mpoo mnajijua!!.
 
Diamond anatakiwa aanze kutumia akili sana kulikwepa hili beef laaivyo litamshusha na lishaanza kumugharim maana yule diamond wa my number one simuoni tena, tokea kiba arudi mond kawa kama kapanic iv. Inatakiwa atulize akili sana na itumike hasahasa la sivyo atapotea

Sent using Jamii Forums mobile app
My number one na ile remix BA Davido ndio zilikuwa nyimbo za mwisho kumkubali Diamond,but now anaimba Mipasho tuu.
 
Ideally Wimbo wa Diamond umekaa ki zamani na video imekaa ki childish kabisa, is like comedians.

Simple Fact:- Unaweza vaa Nguo za zamani lakini uka look Classic, badala ya kua kama mwendawazimu. Their afro is uggly. Ni Nani aliewaroga?.

To make the story short.
Wimbo wa Kiba, ni mzuri na SAUTI YAKE IMEBOREKA SANA IMEKOMAA SIO YA KITOTO KAMA huko nyuma. Now amekua the real musician.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ideally Wimbo wa Diamond umekaa ki zamani na video imekaa ki childish kabisa, is like comedians.

Simple Fact:- Unaweza vaa Nguo za zamani lakini uka look Classic, badala ya kua kama mwendawazimu. Their afro is uggly. Ni Nani aliewaroga?.

To make the story short.
Wimbo wa Kiba, ni mzuri na SAUTI YAKE IMEBOREKA SANA IMEKOMAA SIO YA KITOTO KAMA huko nyuma. Now amekua the real musician.


Sent using Jamii Forums mobile app
Umeeleweka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sallam hana akili, lengo la kutoa zilipendwa walitaka wafikishe viewers million moja kabla seduce me haijafikisha. Ili wajitape mitandaoni. Ila sasa wameaibika. Seduce me imegonga 1M kabla yao. WBC huko walipo lazima confo limeshuka sana.
Watz wabaya


Wamemnyoosha mtoto wa watu

Wakati ali ana 1.9 sasa domo ndio kwanza yupo 1.2

Sasa hivi ali anaweka rekodi mpya...ya 2 m in 3 days
 
Pamoja na Boost ya P Square
8e393cc84f11759b791da59fea621847.jpg


Salome 48 hrs 1 M views

Zilipendwa 931,768 views 46 hrs

Anaweza kuvunja rekodi yake mwenyewe

King Kiba 38 hrs 1 million
Hahahahaha! Hatariii mkuu,na tofauti ya views kati ya seduceme na zilipendwa inazidi kwa kasi,tofauti ishafika kwenye laki 7 kuelea laki 8 soon gape litafika million. Walichokitarajia sicho,au wale follower wao wa insta gram ndo waliwapa kichwa? Maana diamond pekee ana 3.9 Million followers! Watakuwa wamemsaliti nahisi.Huu mchezo hauhitaji hasira.
 
Watz wabaya


Wamemnyoodha mtoto wa watu

Wakati ali ana 1.9 sasa domo ndio kwanza yupo 1.2

Sasa hivi ali anaweka rekodi mpya...ya 2 m in 3 days
hii ni mbaya sana kuwahi kutokea.

Kipusa 1.98+,ni leo usiku tu anavuka milioni 2.
 
nasikia mnabadilisha device kama hamna akili utafikiri mnabet....kazazneni but ni swala la mda
Unajua hichi kitu hata mm kinanishangaza, Rekodi yao inakuwa ya kuforce sana wanasahau Mond kwenye Salome aliweka rekodi automatically bila watu kujilazimisha. Yaan nimeona promo anazopiga Mange na teamkiba kwa ujumla utadhan vichaa. I don't think if Music needs such kind of childish
 
Unajua hichi kitu hata mm kinanishangaza, Rekodi yao inakuwa ya kuforce sana wanasahau Mond kwenye Salome aliweka rekodi automatically bila watu kujilazimisha. Yaan nimeona promo anazopiga Mange na teamkiba kwa ujumla utadhan vichaa. I don't think if Music needs such kind of childish
siku izi huruma zitakapokata ndo tutajua kama kweli kiba ni king lakini kama kila akitoa wimbo kutakuwa na izi kampeni sioni msanii pale......sema wana jihad natural yaani sizan kama wanakumbuka ata kula.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom