Maji meusi
Member
- Nov 19, 2016
- 12
- 8
Kwan clouds ndo nan upuuzi
Wapi domo kaanzisha vita na vyombo vya habariNaona kuna wapumbavu mnachukulia poa kitendo cha radio kuvamiwa c cha kawaida wala c cha kukichekea
sasa huyu mond vyombo vya habar kw umoja wao vinaweza kumsusa kwa kumuunganisha na bashite
waende uhuru fm na tbc
.....chonde chonde hakuna aliyeanzisha vita na vyombo vya habar akashinda
Uswahili unamsumbua. Pia ameshindwa kuficha kitalaamu upande anao usimamia.ila kwa kweli Diamond hata mimi nime muona ni kubwa jinga
na nyimbo zake nimezifungia sisikilizi wiki hii yote
Na pia kama watu hawafanyi kazi hizo hela wanazotumia mashabiki wa muziki kununua kazi zake mitandaoni zinatoka wapi!?Tehe tehe tehe!Diamond anauza kazi zake siku hizi kupitia mtandao.Yaani ni kama mashine ya pesa.ikifika jioni anasoma meter zimeingia ngapi.Hayo mambo ya kutegemea Clouds na redio nyingine wamebaki nayo jina Kiba
Mwenzio hategemei mashabiki wa bongo pekeeNa pia kama watu hawafanyi kazi hizo hela wanazotumia mashabiki wa muziki kununua kazi zake mitandaoni zinatoka wapi!?
upo sahihiUswahili unamsumbua. Pia ameshindwa kuficha kitalaamu upande anao usimamia.
Pamoja na kuwa msanii wa kimataifa bado hajajua kucheza na mind za wana nzengo, kawaida msanii kwenye inshu yenye tension kama hii anatakiwa kusimama upande wa wanainchi na sio serikali.
Na kama ukiona wanachosimamia wanainchi ni upuuzi basi usijionyeshe ukae kando tu kuliko kujionyesha wazi wazi uko pande wa serikali.
Eti anawaambia watu wafanye kazi, hivi watu wangekuwa hawafanyi kazi ni nani angekuwa anaingia kwenye show zake na kufanya awe hapo alipo!? Almasi kafanya ufalaa sana.
Haujakatazwa kumdharau pamoja na la saba na Kiingereza chake cha kuombea maji.Basi huyu Nasibu ni wa kumdharau kumbe nae kamaliza la saba..Nilisikia kwamba Kiengereza cha kuombea maji kafundishwa na Wema Sepetu
Ni kosa kubwa sana Ku side na serikali dhidi ya raia.upo sahihi
Unajua impacts za fanbase plummet?Mwenzio hategemei mashabiki wa bongo pekee
Magu anapiga simu clouds..kwani TBC haipo?Upuuzi mkubwa huu kufanya clous ndo kila kitu,
Almasi hajui tu, tena anashindwa kujua Serikali haina rafiki wa kudumu, leo ana ona wanafanyiwa wengine kesho yata mkutaNi kosa kubwa sana Ku side na serikali dhidi ya raia.
Raia ndio wanaokufanya uwe msanii hao serikali watakutafuta ukiwa na popularity na popularity yako ikishuka tu hawana muda na wewe tena. Watu wakuitengeneza popularity ni raia kwa hiyo basi wakikususa tu umejifia.
Akina Jay z utawaona sana wakati wa kampeni lakini huwezi kuwaona wakiunga mkono kitendo chochote kinachofanywa na serikali alafu kinalalamikiwa na raia.
Almasi hajui tu, tena anashindwa kukua Serikali haina rafiki wa kudumu, leo ana ona wanafanyiwa wengine kesho yata mkuta
tena kwa serikali kama hii isiyo jielewa ata juta.
na hakuna atakaye mwonea huruma
Mr. Nice alifikia level alifikia Diamond?Tema mate chini mkuu hivi unamkumbuka Mr.Nice?
hujamuona wa juu yako hilo povuNgoja wenye team zao waje,,
Hakuna media iliomfanya mond kuwa mkubwa....Mondo kajifanya mkubwa mwenyewe kwa juhudi na maarifa yake kwenye kazi zake...afu dua la kuku halmpati mwewe kenge weweHuyu kijana ni mnafiki sana. Anadhani watanzania ni wapuuzi sana. Haiwezekani MTU ambaye anaikanyaga demokrasia na kuvamia vituo vya Habari yeye anatunga nyimbo ya kumpromote na kumfagilia kana kwamba nyie ambao mmebeba hadi kufikia hapo anawaona wapuuzi na kiwadharau sana. Juzi mmemsimamisha Alex lwambano kwa kurusha habari za bashite: Leo mkimpromote huyu mnafiki tutawashangaa sana.
Kijana amevuka mstari na lazima ahadhibiwe ipasavyo...Leo anatukana wananchi eti tumekaa hatufanyi kazi tunajadili vyeti...mpuuzi huyu, hajui kuwa mkuu wa Nchi kafukuza wangapi kwa kashfa za vyeti.
Clouds nyie ndo mmemweka hapo. Hakuna kumpa airtime tena. Wapo wasanii wengi Tanzania. Wakina Ben pol, jux, vmoney wasanii wazuri sana km mkiamua kuwekeza kwao.
Dogo mmefanya kawa Mkubwa Leo anawaona nyie wapuuzi. Si anamitandao ya kijamii. Sawa hamna kumpigia tuone fala huyu.tulikusapoti diamond but nadhani una matatizo ya akili..lazima ulipe upuuzi wako.
Umetumika sasa utakula jeuri yako. Bashite hana maisha marefu ya kuwa Mkuu Dar. Utakula jeuri yako pimbi wewe.
Dogo mshamba sana wewe. Badala ya kufanya mziki unaleta upuuzi wa kikolomije. Unajiona pimbi wewe.
Na efm huyu kijana hawafai kabsa.