Ushauri kwa CHADEMA kuhusu jimbo la Moshi Mjini

Ushauri kwa CHADEMA kuhusu jimbo la Moshi Mjini

Habari zenu wana jamii forum,

Ujumbe niliotaka kuwafikishia uongozi CHADEMA makao makuu na wa mkoa wa K'njaro, ni kuhusu uchaguzi mkuu 2015 jimbo la Moshi Mjini, kama tulivyoona mzee wetu mpendwa Ndesamburo kazeeka na sidhani kama atagombea tena next time, basi kama hatagombea tena mimi binafsi nampendekeza kijana machachari na mwanasheria maarufu ndg Albert Msando kwasababu huyu jamaa nimepata bahati ya kuona interview zake yupo vizuri sana na ni mtu wa misimamo, pia yupo committed na chama.

acha upuuzi wa kujipigia upatu kadenge. Tuambie umefanya nini ktk kata yako kama diwani,
 
Msando ana akili za kupendaa sifa na kurubuniwaa kirahisii kama Zitto. Hafai kuwa mgombea ubunge Moshi Mjini labda Kigoma Kaskazinii.
 
Msando kichwa sana,hana ubaguzi na anaamini hawawezi kuchukuwa Dola,kwa kutegemea kanda moja.
 
sawa msalani mbona usemi kuwa LOWASA na ridhiwani hazipandi?unabisha ushahidi upo kwenye tamko la umoja wa vijana UVCCM BAGAMOYO walipotamka bila kumumunya maneno kuwa jina la rais ajaje lipo mkononi mwa JK
BISHA MSALANI MPAKA VIDEO ZIPO
 
chadema walisahau jimbo la Moshi. Wananchi wa moshi wamewachoka..
 
Back
Top Bottom